Habari ndio hii. Siku hiyo tunafunga ndoa rasmi mimi na kipenzi changu cha muda mrefu sweet baby mwaJ.
Shughuli yetu itashuhudiwa na kusimamiwa kwa ukaribu sana na mabinti zetu Zion Daughter...
Nashukuru madame kwa kuniona nafaa na kunipa nafasi ya kuja kukufanyia masaji mara 3 kwa wiki,nakuahdi ntafanya kazi kwa ufanisi na ntajitma kwa yote utakayo hitaji toka kwangu.
Ahsante Madame B.
siku hizi watu wanang'aa katika mitandao ya kijamii kwa kutumia cream ya Photoshop. cream hii hata uwe na uso kama fenesi lakini zinatolewa zoooooooooote unakuwa na sura mpyaaaaaaaaaaaaaaaa...
"Kwanza wao watakupuuza wewe, baadaye wakukejeli, tena wapambana na wewe, na kisha wewe utashinda."
- Mahatma Gandhi
postgiver | Narrow the road that leads to life, and only a few find it.
Wapendwa wa Jukwaa hili!
Nimekuwa nikifuatilia mashindano na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa members wenye sifa mbali mbali hapa CC, mfano ile ya "Best couple"
Nimeshawishika kuleta hii...
Kipofu alimpiga mtu hadi akamuua,
akapelekwa Mahakamani
HAKIMU: kwa nini umefanya ukatili
namna hii?
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu
aliniambia "NIPIGE UONE" kwa vile
nina hamu ya kuona...
Pumba.., mshen.. mkubwa we'---- nini, paka wee! Naongea na mwenye nyani siongei na nya.., sura kama gari ya mkaa! Musiogope; nafanya mazoezi ya matus* ili nikiingia BUNGENI 2015 nisipate tabu si...
Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni
Wakuu nawaombeni tujadili je ni kwanini chumvi ya Mawe na moto wa mkaa havielewani? Na Je kwanini Mafuta ya Moto na maji hayaelewani ninawaombeni majibu mazuri munipe mimi mpaka leo ninashangazwa...
TLC - No Scrubs ( Official ) - YouTube
Destiny's Child - Bills, Bills, Bills - YouTube
Brandy & Monica - The Boy Is Mine (HD) - YouTube
mabinti wa kipindi walikua si mchezo...
Aisee happy 4th july kwenu wote.......it a wonderful day kabisa......nasheherekea hapa naumwa na mbu najiandaa kupamba na foleni kesho....nyie mnafanya nini?
Yaani leo nimeamka asubuhi ile natoka nje tu nakutana na mama anatoka jikoni kashika kibakuli mkononi!
Huku akiwa nawasiwasi mwingi akaniuliza hivi ''kwenye hili bakuli kulikua na samaki ulikula...
Yani toka external mpaka buguruni sheli nimetumia masaa mawili na nusu leo saa 4 mpaka saa sita na nusu mchana?
Kwaherini narudi mkoani kwangu. Hii foleni ya magari ni balaa
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.