MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,993
Habari ndio hii. Siku hiyo tunafunga ndoa rasmi mimi na kipenzi changu cha muda mrefu sweet baby mwaJ.

Shughuli yetu itashuhudiwa na kusimamiwa kwa ukaribu sana na mabinti zetu Zion Daughter (Binti wa Mwita Maranya) na snowhite (Binti wa MwaJ).

Kwakuwa tarehe ya shughuli yetu na eneo la tukio ni mwananyamala ''kwa mjeda leo tupo hapa pub'' na siku hiyo kutakuwa na tukio la mashindano ya kuimba kwa wanachit chat basi ni matarajio yetu kuwa nyoooote mtajumuika nasi kuserebuka na kututakia heri katika maisha yetu mapya ya ndoa 'takavitu' kati yangu Mwita Maranya na the sweeetest babe mwaJ.

CC: Katavi Bishanga Kaizer Bujibuji Baba V Mamndenyi MwanajamiiOne Arushaone saudari Jiwe Linaloishi na wengine wote wahusika wa cc club!
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu hunikaribishi ndoa au unaogopa ntavujisha mambo ya mke mkubwa!!@mwita maranya
 
Habari ndio hii. Siku hiyo tunafunga ndoa rasmi mimi na kipenzi changu cha muda mrefu sweet baby mwaJ.

Shughuli yetu itashuhudiwa na kusimamiwa kwa ukaribu sana na mabinti zetu Zion Daughter (Binti wa Mwita Maranya) na snowhite (Binti wa MwaJ).

Kwakuwa tarehe ya shughuli yetu na eneo la tukio ni mwananyamala ''kwa mjeda leo tupo hapa pub'' na siku hiyo kutakuwa na tukio la mashindano ya kuimba kwa wanachit chat basi ni matarajio yetu kuwa nyoooote mtajumuika nasi kuserebuka na kututakia heri katika maisha yetu mapya ya ndoa 'takavitu' kati yangu Mwita Maranya na the sweeetest babe mwaJ.

CC: Katavi Bishanga Kaizer Bujibuji Baba V Mamndenyi MwanajamiiOne Arushaone saudari Jiwe Linaloishi na wengine wote wahusika wa cc club!

count me in to celebraters..
 
Last edited by a moderator:
Haya Binamu ntaja na visheta vya asumini kumpokea wifi Mwa J.
 
Last edited by a moderator:
Nakupa hii "Kuoana ni jambo la sifa na tena ni jambo la fahari kubwa ktk historia ya mwanadamu. Hivi leo ....." Malizia wimbo.
 
Baridi na mwezi mtukufu ndoa nje nje tutabakia wachache humv.
 
Kumbe tuko wengi tunaoaga ukapera? Hodi hodi na zikome mwaka huu tunaoa!

COPY: Kwa daktari wangu mwenyewe Lady doctor.
 
Last edited by a moderator:
Mi kweli nina gundu humu nishaachana na watano wezangu wanaoana tu
 
Back
Top Bottom