MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

Oya hii wikend pande zipi!?? nina hasira na Kinana nataka nizipge hadi niwe kama pinda... kama vp karibu LUMO PUB

Mkuu mwenyekigoda Baba V we niambie saa ngapi utakuwepo hapo LUMO PUB.
 
Last edited by a moderator:
Baba V ninafurahia kwa kuwa foleni inazidi kupungua
mimi bado nipo nipo tu
baridi hii na upepo huu nimeshavizoea japo vinaleta hasira sana.
Unashabikia wenzio kwenda kupeana joto wakati wewe unajikunyata na baridi....
 
Last edited by a moderator:
Baba V ninafurahia kwa kuwa foleni inazidi kupungua
mimi bado nipo nipo tu
baridi hii na upepo huu nimeshavizoea japo vinaleta hasira sana.

Mamndenyi acha kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio. Katavi amepanga foleni mwaka mzima lakini hata humpi nafasi uko busy na magumegume!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer sasahivi msiri wako haruhusiwi kuwasiliana na mtu yeyote bila ridhaa yangu. Sasahivi amefichwa mahali anasuguliwa kwa mchanga wa pwani huku akiogeshwa kwa maziwa ya ng'ombe wa kienyeji yaliyochanganywa na mayai ya mbuni!

aisee kiongozi utani pembeni vipi ziara yako ilikuwaje hebu nipe mrejesho kwa PM nijua wapi hapajakaa sawa.....

kuhusu mwaJ usitie shaka tuna code zetu tunawasiliana vizuri tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom