MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

Habari ndio hii. Siku hiyo tunafunga ndoa rasmi mimi na kipenzi changu cha muda mrefu sweet baby mwaJ.

Shughuli yetu itashuhudiwa na kusimamiwa kwa ukaribu sana na mabinti zetu Zion Daughter (Binti wa Mwita Maranya) na snowhite (Binti wa MwaJ).

Kwakuwa tarehe ya shughuli yetu na eneo la tukio ni mwananyamala ''kwa mjeda leo tupo hapa pub'' na siku hiyo kutakuwa na tukio la mashindano ya kuimba kwa wanachit chat basi ni matarajio yetu kuwa nyoooote mtajumuika nasi kuserebuka na kututakia heri katika maisha yetu mapya ya ndoa 'takavitu' kati yangu Mwita Maranya na the sweeetest babe mwaJ.

CC: Katavi Bishanga Kaizer Bujibuji Baba V Mamndenyi MwanajamiiOne Arushaone saudari Jiwe Linaloishi na wengine wote wahusika wa cc club!

Kila la heri Mura imweito!!
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya mimi nta hakikisha wapishi wanatengeneza supu ya pweza ya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Mie m-mama wa ukweee. Si umeona hapo tayari nina binti anaitwa snowhite? Huyu binti yangu ana umri sawa na binti Maranya aitwae Zion Daughter. So tayari tuna watoto 2. Siku hizi wakurya hawaoi under age.

Hii ni sababu mojawapo ya mimi kukupenda sana na kutotaka kukupoteza kwa gharama yoyote ile babe mwaJ.
#Understanding wa LadyJaydee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom