Habari ndio hii. Siku hiyo tunafunga ndoa rasmi mimi na kipenzi changu cha muda mrefu sweet baby
mwaJ.
Shughuli yetu itashuhudiwa na kusimamiwa kwa ukaribu sana na mabinti zetu
Zion Daughter (Binti wa Mwita Maranya) na
snowhite (Binti wa MwaJ).
Kwakuwa tarehe ya shughuli yetu na eneo la tukio ni mwananyamala ''kwa mjeda leo tupo hapa pub'' na siku hiyo kutakuwa na tukio la mashindano ya kuimba kwa wanachit chat basi ni matarajio yetu kuwa nyoooote mtajumuika nasi kuserebuka na kututakia heri katika maisha yetu mapya ya ndoa 'takavitu' kati yangu
Mwita Maranya na the sweeetest babe
mwaJ.
CC:
Katavi Bishanga Kaizer Bujibuji Baba V Mamndenyi MwanajamiiOne Arushaone saudari Jiwe Linaloishi na wengine wote wahusika wa cc club!