Just Imagine Kama Ndo
Umealikwa Kwenye
SHEREHE Ya Mtu Tajiri,
Ukapewa Na Kadi Ya
Mwaliko... Siku Ya Tukio
Ukaulamba(Kupen deza) Waswahili Wanaxema
KUVUNJA KABATI"... Ile
Unaingia Ukumbini...
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,"nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari...
Wadau wa huku CC salaam!
nauliza kama Madame B ana mpenzi wake humu maana nimezimika nipo hoi, kula sili, kulala silali namuota yeye tu, kila nikinywa maji namuona kwenye glasi, nikitembea...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu
Kwa Neema tele anazotukirimia kila uchwao,
Ni kwa mapenzi yake tu, ndiyo maana tungali hai hadi sasa!
Ndugu zangu nawashukuru sana kwa pongezi zenu mlizonipa...
Maisha si ya kukurupukia ukayaona madogo kama wachezaji wa ARSENAL,ukataka kuyapata kwa kupendelewa kama MAN U,usitake kuyapata kwa nguvu kama wachezaji wa CHELSEA,usiyatafute kwa kushtukiza kama...
Sifazangu ni:-
1-Makengeza
2-Pua ka ngumi
3-Nywele ka mkutano wa nzi
4-Maskio ka bakuli
5-Meno ka reki (gaucho)
6-Mdomo unaharufu ka tundu la choo
7-Sura ka nimenusa harufu mbaya...
1- Giving up doesn't always mean you're weak, Sometime's it just means your strong enough to let go.
2-I may have a bad mouth but, I can do great thing with it.
3-When you think you're not...
Nyumba za kupangisha Uswazi zinatabu katika maneno wanayotumia hasa wakikaa Wanawake Single wataonekana Malaya hasa ukitumia Maneno kama , Oyaaaa leo mbona hatumuoni Mwajuma! Atarukia anayejua...
Hodi kwenu....mimi mgeni hapa...ningependa kumuomba mwenyekiti wenu anitambulshe kwenu nyote...nina interests sana na single ladies,tafadhali jitokezeni bila woga....pia kama mwenyekiti wenu akini...
nilikua natembea njiani, kwa mbaaaaaaaaaaali nikaona watu wawili wakigombana, sasa wakaniita nikasuluhishe uwo ugomvi....... mmmh mpaka sasa hv nasulihisha ngoja nimalize nitawaambia.
ubalozi ni pale unapofikia kwa ndugu yako au rafiki wakati unatoka mkoani, bording school, au college: huwa pale kuna visa kama kuku uliza, utaondoka lini? kama kukuambia zima tv ipunzike! Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.