JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baba yetu Mbaraka Huseni Obama, Ujio wako utukuzwe, Utawala wa Marekani uje, hapa Tanzania na ulimwenguni kote, maana mapenzi yake yametugusa kuanzia huko Ikulu, Mbagala na hata Mikindani! Utupe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani nimeona mtu ana ndevu ndefuuu, amejifunga shuka kichwani, kavaa suruali fupi, anaendesha baiskeli halafu kafunga kitu kama gogo nyuma ya baiskeli anaelekea airport! Kazi kwenu.
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Hapa napo vp? Yesterday i saw u at the maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi)....When you saw me you started to six- six...(uliponiona ulianza ku-sita sita)...You run away...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha we ulidhani ni nini?
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari zenu marafiki Wafuatao ndio waliojitokeza kuwania tuzo ya mwimbaji bora wa CHITCHAT 2013-2014 watakaoshindanishwa ni : Bujibuji, ( Namba yake ya ushiriki ni CCF01) figganigga, (No. CCF...
9 Reactions
74 Replies
3K Views
Ni BCOm gani nzuri kusoma iliyo ktk Soko la Ajira
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Ee Mungu,unirehemu, Sawasawa na fadhili zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase na dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu, Na dhambi yangu i mbele yangu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
ukitaka kuujuwa utu wa mtu basi upite katika njia 5. Njia ya kwanza usafiri nae pamoja. Njia ya pili ushirikiane katika mambo ya pesa na mali. Njia ya tatu asikie habari isio nzuri...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
MAHARI KAMA MAHARI YATAENDELEA KUWA HIVI, MAMBO YA NDOA TUTASIKIA KWENYE REDIO TU. Kijana Mmoja alienda kuposa maeneo ya fulana UNGUJA alidaiwa vitu vifuatavyo mbali ya MAHARI 1.5 miliyoun...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Kulingana na maandiko matakatifu, Lucifer maana yake ni " The Light Bringer ", " The Morning Star ". Kuna ubaya gani nikimuita mtoto wangu wa kiume jina Lucifer?... Kuna maelfu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake haraka sana. Unachukua usafiri unaenda kufka mlangoni anakwambia kuwa leo ni birthday yako, unafurah kwa sababu amekumbuka. Kisha anakwambia akufunge...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama wewe ni mkereketwa wa kurekebisha historia ya nchi yetu, na unataka dola yako tukufu ya Tanganyika irudi sema ' ndiyooooo'
1 Reactions
4 Replies
843 Views
Thanx God for what u have done tn my life, you have rised me from nobody to someone to be recognized, i had nothng u made me somethng to be proud of, i was so weak but u taught me how to endure my...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hongera umefanikiwa kujiunga na freemason. Kila wik utapokea million 50. Kujitoa andika neno "NATAKA NIFE" kwenda namba 008090000.Nakutakia utajiri mwemaa
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ingekuwaje kama kila uki 'do' na mtu mpya unapata kovu mwilini?
0 Reactions
32 Replies
2K Views
1.Nameless kupata jina. 2.Facebook imejaa sasa 2naandka chestbook. 3. TMK wanaume sasa kuwa TMK wazee. 4.Mr 2 Sugu kuwa raisi badala ya Diamond. 5.Babu Seya na wanawe watolewa jela. 6.Bei...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
yoga for relaxation - YouTube I salute all MMU, Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
CHEKA TARATIBU... Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na machungwa. Akaambiwa ameze...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Back
Top Bottom