JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi unapomuambia mtu unampenda huwa unamaanisha nini hasa?
0 Reactions
92 Replies
12K Views
TAIFA LANGU *Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela *Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana *Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pitieni pitieni ambao hawaonekani humu maana wengi wanaweza wakawa Majeruhi kufuatia mlipuko wa bomu,hatujuani kwa sura.
5 Reactions
81 Replies
4K Views
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura... Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Bos almwambia dereva wake apge punyeto mara 3 mfululzo,yule dereva alpopga,Bos akamwambia mpeleke bint yng nyumban.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Dagaa, sangara, kambale, ngogogo, sato, katambuga, yebo×2, kamanyola, kaniki, mbute, makopa, udaga, matobholwa, michembe, mawese, samuli naaa... naa.. na simu ya siemens ile kama ya salam ya dole...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wana Dodoma Mwita Maranya ni mgeni wenu..... Halahala madada wa huko kaeni chonjo funguo kabaki nazo mkewe mwaJ.
2 Reactions
147 Replies
7K Views
Amri kumi kwa wapenda ofa ya bia !!!! 1.Muheshimu anayekununulia bia 2.Muamkie mtoa ofa kabla ya kukaa kitini 3Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,lakini usimkatishe mazungumzo anayetoa ofaa 4.Daima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha ukitaka kunzodoa...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimekuwa nikimuona Rais wa marekani akiwa na mwanae wa kike aitwae Sasha, kiukweli si kwamba mtoto yule ni mzuri tu bali anastahili kabisa kuwa mke wangu. Kinachonisumbua ni wapi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dogo alipanda basi akakaa karibu na dereva.Akaanza kupayuka'baba angekuwa dume na mama jike la ng'ombe ningekuwa kadume kadogo.Dereva akaanza kukerwa na kelele zake.Akaendelea,''baba angekuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kifungua kinywa (breakfast) bomba ni kipi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Ms. ABC, Baby, I 'v seen you yesterday while surfing on local train platform and realised that you are the only site I was browsing for. For long time, I 'v been lonely, trying to find a bug...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..................................................................
0 Reactions
6 Replies
2K Views
dogo mmoja anasoma darasa la tatu. [dogo:]mwalimu mimi nataka kusoma darasa la nne maake hili la tatu halinifai,nina akili sana [mwalimu:]mmh hebu nikuulize maswali [dogo:]sawa [mwalimu:]kweny e...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
jamani Kipaji Halisi embu njoo jamani si unajua Mtambuzi yupo makalio bar na Arushaone na Preta. Swahiba Paloma dah hapatikani pole sana kwa msiba wa mama Madame B kakamatia pedeshee na simu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
mzee mmoja aliamua kwenda kununuwa robot ambalo mtu akisema uongo linampiga kibao akalileta nyumbani kwake kwa mkewe na mwanawe sasa katika kulifanyia jaribio akamwita mtoto wake ,akamuuliza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za asbh wana jf,leo tarehe 21 mwezi wa 6 ni birthday yangu natimiza miaka kadhaa(24-28),mungu anijaalie maisha marefu yenye amani, upendo na furaha,mapenzi tele jamani kwa wana jf woote...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza...
7 Reactions
112 Replies
5K Views
Back
Top Bottom