A nude guy was sunbathing at
the beach. a little girl comes to
him, he covers his private parts
with a newspaper.
The little girl says, 'Whats under
there?'
So the man answers , 'A bird'...
Habari za mchana wanajamii, kuna rafiki yangu kapata mchumba wa kike MKEREWE, hangependa kupewa hints kuhusu tabia zao. Pamoja na sifa zao ikiwemo kuhusu mapenzi.
Yes you can!
Niko naangalia big brother yaani sioni mdada wa kunivutia hata mmoja....kusema kweli next edition Mamndenyi jitose utashinda! Hasa ukizingatia..........
....................Habari zenu WANA cc WOTE.
........Mwenzenu nimeamua kujivisha UTANGANYIKA na KUJIVUA UTANZANIA Kuanzia leo .....
ntajitambulisha kwa UTANGANYIKA wangu na si...
Tayari malalamiko yameshaanza kutolewa kwa watu mbalimbali kuhusu maoni yao kutoingizwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Hivyo basi, EMT na timu yake wameamua kufanya review ya maoni yaliyotolewa na...
Mshahara laki 2, lakini unamiliki BB
Z10,pochi ya laki na arobaini,umevaa
kiatu cha $ 120, unaendesha Vitz
halafu bado utaenda kanisani
kuomba Mungu akutendee miujiza
wakati tayari wewe...
JAMAA MMOJA ALISAFIRI KATIKA BASI,BASI LILIPOFIKA ENEO LA MIKUMI,MTU ALIYEKAA JIRANI NA HUYO JAMAA AKAONGEA BAADA YA KUWAONA WANYAMA AINA YA SIMBA.
JIRANI;Wale ndio simba.
JAMAA;Aaah,kumbe wale...
WATOTO WA KISHUA SECONDARYSCHOOLS.L.P 270, ARUSHA.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.MAELEKEZO.i. Jibu maswali yote.ii. Kila swali linabeba maksi kumiiii. Zingatia mpangilio wa kazi.iv. Unaruhusiwa...
Kuna watu kila siku hapa kutusema wachaga, mara hajui hili mara hatujui lile, mpaka wakamwudhi Nivea, nawaambia waache, wakikaidi wapigwe tuu!
Wengine kumsumbua Baba V na vi-couple vyao vya...
Mu-hali gani wana Chit chat???
Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.
Tatizo ni kwamba hata nilale...
TEACHER: Student how many types
of coffee does Tanzania export to
europe???
STUDENT: 2 types
TEACHER: Which one are they??
STUDENT: Kofi Olomide and Kofi
Annan
TEACHER: Very good...
Zuzu m1 kapita sehemu fulani akawakuta watoto wanacheza akawadanganya;
'Nyie nendeni kule kunachakula kinagaiwa' Wale watoto wakatimua mbioooo.
Zuzu akajisemea moyoni, "mbona wanakimbia sana labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.