Embu tujikumbushe kidogo kila mtu aseme mara ya mwisho alipigana lini na chanzo cha ugomvi kilikuwa nin?
Mie mara ya mwisho nimepigana 1997 nilivyokuwa std 2.Chanzo cha ugomvi jamaa...
kunguru ndege mjanja hafugiki asilani,
hata ukimpa chakula hatotulia nyumbani,
amezowea mizoga inayotupwa jaani,
nilikudhania ndege unaefugika tunduni,
nikakupa cheo na taadhima pamoja na...
Kuna mzungu mmoja alikuja nchini kikazi,sasa ili japo awe anapiga story na mswahili ikampasa kuanza kujifunza kiswahili.
Baada ya mafunzo mafupi akakalili maneno matatu katika...
mohamed Mtoi ahsante sana hii kumbukumbu haitasahaulika miaka dahali umenizikia dada yangu.
YNNAH your special my dia from lushoto to mabawa hii sitaisahau.
arabella thanx mamii Mungu...
Baada ya mazishi ya jamaa mmoja huko Shinyanga, mchungaji alisimama akaongea na waumini wake. Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Mchungaji: Waumini mnaombwa kutoa michango ili kujenga ukuta (uzio)...
Jamaa mmoja na rafiki yake walikuWa wanasafiri wakapita mbugani
JAMAA: Umewaona wale,ndio Simba wale
RAFIKI: Hivi kumbe wale ndo Simba ee!!!! Sasa pale KASEJA NDO YUPI?
Kuna mdada alkuw na BoyFriend mwngne so ilikutoka home kwake alikokuwa anaishi na mumewe ilibid apange dili.... ucku akacngzia anaumwa tumbo full kulia yan.... mumewe kachanganykiw na kuwasha gari...
Naomba kujua maana ya hii ndoto,niliota Tb Joshua alikuja nyumbani kwangu akaniombea halafu nikaanguka chini nikaanza kugala gala chini halafu pepo likanitoka,nataka kujua kama kuna anayejua maana...
1. When dog food is new and improved tasting, who
tests it?
2. If the "black box" flight recorder is never
damaged during a plane crash, why isn't the whole
airplane made out of...
Uamuzi huu nimeuchukua baada ya kusoma post ya Mwita Maranya na ninamuambia kabisa kuwa kisichokuwa na thamani kwako kwa Mungu kina thamani wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza...
Hakimu mmoja ndugu yake alikuwa na kesi ya wizi wa kutumia nguvu. Akawa anahaha jinsi ya kumnusuru na kifugo.Baada ya majadiliano na mtuhumiwa akapata namna. Akasubiri siku ya kesi. Siku...
MAELEZO: UNAWEZA KUJIBU MASWALI YOTE UKITAKA, LAKINI SWALI LA KWANZA LINA MAKSI 50, SWALI LA PILI LINA MAKSI 40, MASWALI MENGINE MAKSI ZITATEGEMEA KAMA UMEPATA MANGAPI LAKINI HAZIWI CHINI YA 40...
Natafuta mpenzi (seriously)vigezo
Awe mweupe mrefu
Awe mtanashatianayejipenda
Awe anakwenda na wakati
Awe anapenda usafi
Awe na mapenzi ya dhati
Awe msema ukweli
Awe na elimu na makazi yake...
A recently widowed Jewish lady, was sitting on a beach towel at Cocoa Beach, Florida. She looked up and noticed that a man her age had walked up, placed his blanket on the sand nearby and began...
Nimependa nikusalime ndugu yangu maana tangu siku zile za zamani mimi nilipopewa hadhi ya kuwa makao makuu umekuwa ukinibania. Ndugu yangu wewe hukukubali kunipatia haki zaidi ya kuruhusu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.