Jamaa mmoja alikuwa anatembea, gafla akaona kitu kama mavi, akashtuka! "Hmm yanaonekana kama mavi?! Hebu nishike nione" akashika... "Doh ni laini kama mavi, lakini ni mavi kweli?! Hebu ninuse"...
Unahitaji kufahamu potentiality yako within your community, mfano ofisini! shuleni! nyumbani!
Veeery simple!
Angalia km mara nyingi unawaiwa kusalimiwa ama wewe ndio unawahi kusalimia! Kama...
katika
tamasha la ugawaji wa tuzo za wasanii wa filamu kinachorushwa muda huu
moja kwa moja toka Ubungo plaza,kioja chaibuka.Mwl JK Nyerere atajwa kama
mshindi wa filamu bora ktk category ya...
Jamaa alienda kumchukua mwanae shuleni baada ya shule kufungwa. Alipopewa ripoti ya maendeleo ya mwanae akaona kuwa mtoto ana matokeo mabaya sana, Sasa wakiwa kwenye Taksi kurudu nyumbani na...
Jamaa mmoja alikuwa safarini wakapita mbugani jirani yake akasema "unawaona wale simba?"jamaa akajibu "alaa kumbe wale ndo simba sasa pale kaseja ndio yupi?
wana jamvi ningependa mnijuze eti ni kweli nyoka anaishi milele endapo hatokabiliana na adui yeyote atakaemuuwa? maana nimelisikia hili kutoka sehemu isiyo rasmi ila ningependa kwa anaejua...
Ratiba yangu ya siku ya leo
1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura.
2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe.
3.Kurudi eneo...
Freemason ni jamii ya siri, hakuna ajuae mambo yao yaendavyo wala hakuna freemason kimbelembele kama hawa humu jf. Na wewe mwenyewe huna sifa za kua freemason. Nibora ukajikite zaidi na mambo ya...
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri...
mwee huo msala nimeushuhudia mwenyewe live hii tabia Paloma aliianza taratiibuu sasa kaipeleka mpaka mtaani wana cc msione sosoliso hasemi kwa Paloma ni haya mavitu ananusishwa hahahahahaha
aione...
Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani.
Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa,
Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.
Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.
Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.
All ladies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.