Jamaa mmoja na rafiki yake walikuWa wanasafiri wakapita mbugani
JAMAA: Umewaona wale,ndio Simba wale
RAFIKI: Hivi kumbe wale ndo Simba ee!!!! Sasa pale KASEJA NDO YUPI?
nimerudi tena wana jamvi
nimerudi tena na moto ule ule
wapi. Preta..wapi TANMO..wapi@Cantalisia..na wengineo
nimerudi mzima ingawa mambo bado..
kama uko pouwa..itikia bee kwa akina dada na akina...
Majina mengine banah sio ya
kuwapa wanyama!
Mzee kaenda kwa mtoto
wake kuwa salimia wajukuu
zake kafika akaenda kuoga
mara anasikia mtoto anaita.
mtoto:"thomas ,thomas,
thomas"
mzee...
Mume mwenye wivu alipokua ofisini alipiga simu nyumbani kucheki kama mke wake yuko nyumbani, mke akamjibu yuko nyumbani, akamwambia siamini na kama uko nyumbani washa blender. Mke akawasha blender...
Tunga sentensi kwa kutumia neno "kipupwe" ni maalumu kwa ajili ya hali ya hewa ya mwezi huu!
naanza: ninapenda sana vitu vya moto wakati huu wa "kipupwe"
1. Hebu fikiria unafuga mbwa halafu ni mvivu kiac kwamba mbwa wa jirani akibweka nae anaitikia ''Me too''
2. Ndoa ni Mbwembwe tu mapenzi yapo nyumba ndogo.
3. Siyo kila mbeba jembe anaenda kulima...
Kuwa makini, ukinunua soda angalia kwanza pande zote, kama kuna mmakonde usifungue! Maana akisikia sauti ya gesi, utachezea kichapo, wana uchungu na gesi...
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
MHESHIMIWA SPIKA, naishauri serikali yako tukufu kuwa,ktk masomo ya udaktari kuwe na kitengo cha madaktari wa MAPENZI. Huu ni ugonjwa unaosumbua wengi,vijana na wazee,maskini na tajiri. MHESHIMIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.