Mimi starehe yangu ni kula nguna (ugali mgumu sana na mkubwa sana) kisha baada ya hapo naenda kucheza disco la Yesu
Je mwenzangu ni ipi starehe yako?
Wapo wanaostareheka na miili ya wenzao...
Bishanga waambie warudishe madeni hao watu, hasa sosoliso na Paloma... kachukue na ile gari uliyo muazima Lady doctor.
The secretary kasema anataka kuhamia .................... alafu namuonaga...
Nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika yakuwa majina yao yaliabadilishwa na walim wao shule za msingi, mfano Kimario- kimaryo, moshi-mushi, helen - hellen, nicholaus -nicolas, Mc-conan...
Yes natangaza kujivua 'GAMBA'kwa 'mtoto' king'ast!!
Haiwezekani kupigwa ban kila wiki tena weekends.Ngoja wenye visu vikali wale nami ntapata mwandani wangu tutakaeshibana kama king'ast na Paw...
Watch This Is the End Full Movie Online Free. free for watching this is the end full movie 2013 about 107 minutes.watch this is the end online Everything about this movie is great, the story, the...
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji mzuri ule moyo ukaonekana ovyo tu.Kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini?
Mwanafunzi...
Mke wa mtu alikutwa akisoma ujumbe wa simu aliotumiwa na mpenzi wake wa nje.
Ghafla mwanamke huyo akajikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake wa nje kumwambia kuwa mapenzi yao yamefika...
Wanashukruni sana wanajf kwa kunitia moyo na kunipa nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. Mdogo wetu Vianney tulimpumzisha jana kwenye nyumba yake ya milele tukiwa na imani ya kuwa tutakutana nae...
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station. "Naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7,ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card...
Jamani wana JF naomba msaada wenu hapa.
Mwanzoni mwa miaka ya 90's wakati nipo primary niliwahi kumsikia jambazi sugu aliyewahi kuitikisa ulaya na amerika, namkumbuka kwa jina 1 tu la CARLOS...
Grounds for Divorce
A Polish man married an American girl, and though his English wasn't very good, they got along very well.
One day he rushes into a lawyer's office and asks him to arrange a...
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro
Kweli ujana maji ya moto, leo hii ukiambiwa Mzee Mtambuzi ndio huyu, huwezi kuamini.......
Ndio maana sipendi kuamkiwa shikamoo, hiyo salaam inanikera kama nini...
Serikal ya Tanzania imetangaza kupunguza bei ya mchele kufikia shiling mia hamsin kwa kilo ili kuwezesha watanzania wote kula wali.hii ni baada ya kugundulika kuwa unga una madhara kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.