Napenda kutoa salam kwa ndugu zangu humu jukwaani vijana kwa watu wazima.
Moja kwa moja kwenye mada...Maisha yana Mapito mengi sana.
Lakini Mimi nitawaletea vituko, nilivyowahi kuvifanya...
Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia...
Sikuzote hawa wenzetu huongea kinyume, ukikutamkia anakupenda jua hupendwi,akikutamkia hakupendi jua unapendwa.
Jitahid umakinike na matendo yake na sio maneno yake wanaume weng mmeingia kwenye...
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni.
Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua...
mahondaw when i think of you... I long to feel your touch, am whispering in your ears, words are old as time, words only you hear because are mine...
mahondaw remember the very first day i...
Diagnosis iko hivi;
Stress level iko juu
Wana msongo mkubwa wa mawazo
Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and
Kujinyonga ni most natural and probable consequence.
Mungu awafanyie wepesi.
Nchi ngumu sana, kwasababu kama tatizo dogo la mfumo wa umeme limeshindikana kabisa je, hiyo treni ya umeme usalama wa abiria utakuwaje?
Ni maswali tunapaswa kujiuliza kwa upana zaidi na sio...
Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi...
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to the perverts who thought otherwise:confused:)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo...
Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?
Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua...
Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako.
Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake.
Kwaheri.πππππ
Chemsha bongo:
Ukipewa million 100 saa 6 usiku kwa masharti kuwa unatakiwa utumie hizo hela ndani ya usiku huo huo kutafuta nyumba na uhakikishe umehamia. Nyumba iwe kali na iwe na kila kitu...
Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu.
Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa...
Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala
chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria)
β’β’β’ β’β’β’
Kuna dada...
TANGAZO KWA UMMA
Katika MSIMU huu wa SIKUKUU nasikitika KUTANGAZA kuwa nimesitisha KUTONGOZA MSICHANA yeyote yule hadi tarehe 5 JANUARY
Naomba RADHI kwa USUMBUFU wowote UTAKAOJITOKEZA!
Wako...
Mpo nimewamisooo???
Leo sina maneno mengi kazi zimenibana
Ilaa nilichokuja kugunduaa ni kuwa wanaume wanaojuaa mapenzi na marijali asilimiaa kubwa ni kuanziaa 35yrs n above ndo wanaojuaa...