jamaa mmoja aliyekuwa ameoa alipatwa na maswaibu pale alipokuwa anakojoa kitandani kila siku kiasi kwamba mke akaamua kutaka kumuacha, jamaa kuona vile akaamua kwenda kuomba ushauri kwa rafiki ili...
jamaa 1 kaenda duka la madawa
muuzaji > karibu nikusaidie nn
jamaa > naomba dawa za kutuliza maumivi
muuzaji > kwani unasumbuliwa na nn
jamaa > kuna jirani yangu kanunua ka bodaboda ka roho...
STEP 1 LIKE hii Post
STEP 2 COMENT Kwa kutaja namba ya kitu unacho penda kati ya hivi.
1-KULA
2-PESA
3-SEX
4-GONGO
5-FACEBOOK
6-MUNGU
8-CHABO
9-MPIRA
10-KUTONGOZA INBOX
11-KITOMOTO
12-KUVUTA...
Hii inaweza kuwa record nyingine hapa JF.Hebu nisaidieni wana chitchat,---- mada iliyowahikusomwa na watu wengi kwa wakati mmoja zaidi ya hii
There are currently 14223 users browsing this thread...
Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, Mwanangu mpendwa umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi, wakati...
Wadau habari zenu.
Nichukue fursa hii, jumapili ya leo nicheze walau kiduchu tu , na akili zenu!.
"Uimara wa Afya ya akili umegubikwa na mazoezi ya kuifikirisha"
SWALI :-
Bubu amenunua maziwa...
Jamani nikaribisheni, manake najihisi nimekuwa mgeni humu....
Nimekuja na zawadi kwa ajili yenu pia.
Hii ni kwa ajili ya akina Dada/Mama wapenda Fasheni..
Hii ni kwa ajili ya wote.
Mapendo...
Mtanzania, mkenya na Mganda walikamatwa na Bangi China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi. Mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika..la kwanza...
SWALI:
UNAPEWA TAARIFA KUA MKEO WA
NDOA YUPO NA HAWARA YAKE (kibuzi),,
Garden ILE UNAFIKA PANDE ZILE
UNASIKIA HAWARA YAKE
ANAMWAMBIA MKEO..''Baby chukua laki saba hizi kampe mumeo mwambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.