Katika zungukazunguka yangu maeneo fulani hapa Dar, si ndio nikakutana na hili tangazo!:
"Dr. Mtabiri Bi. Hadija Kifaru, anatibu mabusha, mshipa wa ngiri, kumwita mpenzi aliyembali, nguvu za...
Jamaa watatu wamefanikiwa kufika kwenye kisiwa
kisicho na watu wala kisichojulikana baada ya
boti yao kuvunjwa na upepo mkali baharini.
Ghafla wakaokota nyupa, ile chupa ikatoa sauti:
"Kila...
Dereva wa tax alimpakiza mzungu kwa bahati mbaya yule dereva ukamtoka ushuzi wa kimya kimya. Dereva akadhani mzungu hajashtukia. Jamaa akazuga kwa kuanzisha mazungumzo na kumuuliza mzungu Je hali...
An arabic couple went to a hotel in London,one day in a room a husband heared his wife screaming...Farr...Farr..(which in arabic means a mouse)..so a husband wanted to inform the room service but...
Nilienda kununua tube light pale leo asubuhi lakini pilika za mle niliona kama vituko. Kuna ubaguzi kifulani vile niliouhisi.
Wamasai ni walinzi na wanavaa rubega.
Waswahili wenzetu wanavaa T...
wadau nipo tu sasa napumzika hivyo natafuta thread yoyte ya mtu niichakachue bila kupewa BAN,
tena kabla sijafika mbali nashukuru sana bodi kwa kutusaidia kujua pia serengeti boys tulio nao...
Hii inatokea sana umekaa na mpenzi wako au mnatembea jamaa au mwanamke anatumia uhuru huo kwa kuto angalia mipaka yake, mfano anamkamata kalio au anamtekenya jilani au anamfinya, Je ukiishtukia...
kwa mlio Dar niko safarini nakuja Dar nimepangiwa kufikia hotel moja mpya mitaa ya Mabibo hostel,naomba msaada kwa yafuatayo;
wapi naweza kupata huduma ya massage mitaa hiyo manake niko hoi...
Kesho saa nitakuwa iramba -singida wenyeji wa hapo wanamsemo wao usemao iramba nkolo kukela etanzania (iramba kubwa zaidi ya tanzania) nitakuwa na wasanii wa bendi ya msondo ngoma, badao natatizwa...
Naombeni ushauri Wakuu
biashara hapa Arusha imekuwa ngumu na competition ni kali mno
nafikiria kwenda kufungua ofisi Mtwara,naombeni ushauri huo mji ukoje na wenyeji wake wakoje?
je ni idea nzuri...
Wanabodi,
Nimeona nianze na nyie jamaa zangu wa Chit-Chat kuwatangazia ajira.
Kuna mradi nimeanzisha wa usafiri wa bajaji kutokana na tatizo la foleni kwenye huu mji wetu wa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.