Haya haya haya kumekucha tena, tunapigika na kila mtu anatafuta Ujiko kwa namna yake ya kipekee no matter what the cost maybe.......Jana kwa viungo vyangu vyote nimeskikia vyombo vya matamnshi...
Hizi ni zana za Arushaone zilizotumika kurusha live mkutano wa chadema Ngarenaro Arusha hii leo, hapa alikuwa anabadilisha betri..
thread yenyewe ni hii hapa...
Mtz, mkenya& mganda walikamatwa na bangi china. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi. Mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika..la kwanza tu...
Imetumwa via WhatsApp...
Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina.
Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru...
ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:
Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar Jela miezi tisa.
Kuacha kunywa pombe na fedha unazo Kifungo cha...
BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo kali.
1. Mkuki kwa nguruwe... ( Anna Makinda)
2. Mimba zisizotarajiwa (Livingstone...
"KIFO NOMA" Jamaa alingia Msikitin na Panga Mkonon huku jasho likimtoka, Akauliza"nani Muislam hum ndan? Wote kimya. Jamaa akarudia"nauliza nan Muislamu hum?. wote kimya. Jamaa akamshka Mkono...
Kwa namna moja au nyingine majina ya ndugu, jamaa, au marafiki huadimika kadiri ya muda na mahali. Kwa mfano, majina mengi ya jamaa wa utotoni hutoweka pale tunapokuwa wakubwa.
Je unaweza...
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo kwa masela wenzake akawauliza vp...
Halo Wanachitchat! Nawasalimu wote! Kabla ya kusoma hii thread, bila shaka utakuwa umeiona avatar yangu mpya.Usishangae, nimeichagua kwa kuipenda sana.
Unajua, inafika wakati unaichoka avatar -...
KUTOKA NAMBA: 40
UJUMBE: Mpendwa mteja! Hongera umechaguliwa kuwa kwenye huduma ya Airtel Premier. Tafadhali zima na kuwasha simu yako uweze kuona AIRTEL PREMIER kwenye kioo cha simu.
Ni nini...
Haya haya kumekucha wana cc tupige kura kuchagua kapo inayoongoza kwa ucheshi,uaminifu,upendo,kuvumiliana,kuwa intact muda mrefu,ili mradi iwe ni kapo ya mfano cc.Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa...
Msipotufagilia tutajifagilia wenyewe allas!! Kitu chako unapaswa kupewa wakikucheleweshea chukua mwenyewe kwani ni haki yako!
F4G1L14!!!
NEED WE SAY MORE?
Kati ya hivi kipi ni ujinga?
1:Kuweka majani ya chai kwenye sprite ili iwe Cocacola?
2:Kufikiri mzungu ana kimvuli cheupe?
3:Kudhani kuwa kunawakala wa facebook pesa?
4:Kumkimbia simba...
THINK ABOUT THIS FOR A MINUTE.
1. If I showed up on your doorstep crying would you care?
2. If i called and asked you to come and pick me up because something happened, would you come?
3. If...
Enzi hizo mdundiko ukipita hata mtaa wa sita utalikisia tu timbili lake.
Mama anaacha sufuria jikoni anajitosa kwenye mdundiko.
Baba alikuwa chooni anakata gogo , kutokana na utamu wa mdundiko...
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu,akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake..
MKE:Hee kunani?Mbona hivyo?
MUME:Majambazi mke wangu wamenikamata,wameniibia kila ki2 mpaka nguo na kunipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.