JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maisha ya boarding.Nakumbuka. Sabuni ilikata, nikaenda bafuni kama kawaida kutafuta vile vipande vidogo vidogo vilivyo bakishwa na wenye nazo. Bahati nzuri nikapata mara balaa akatokea jamaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Leo ni jioni njema kwani nimekutana na binti mrembo wa Arusha aitwaye Mamushka. Kweli Jf connecting people... hongera mamaa Mamushka cc Preta
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile jinamizi lililokuwa likimwandama Baba V mara kwa mara sasa limetoa maambukizi na mmoja wawaathirika wa maambukizi hayo ni dada yetu kipenzi sweetlady. Pole sana bibie. sweetlady Banned...
10 Reactions
211 Replies
8K Views
Mfano Kuku, Keki, KITUMBUA, Kalimati pamoja hicho unalichokifikiria kingekuwa kwenye orodha hii. Na si kingine ngoja nikitaje live sasa KULALA. Ongezea na wewe kama kipo kingine uone...
2 Reactions
110 Replies
17K Views
mwisho wa wiki hii nitakuwa mjini kwenu nataka mnijulishe viwanja muhimu Moro kuvitembelea kufurahia hizi siku chache tulizo pewa hapa Duniani, wenyeji nipeni majina ya viwanja. Msijeniambia...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Wana Chit-chat wenzangu naomba sala zenu niko njiani kutoka Dar kwenda Mnz, Wale wa Mnz nikaribisheni mi mgeni wenu
0 Reactions
7 Replies
698 Views
Dear Mwl,tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika: siku hizi mlima kilimanjaro upo Kenya,Ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya,Tanesco ni ya mtu binafsi,pia Rais wetu siku hizi anaishi...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Eti kuna umuhimu wowote wa member wa jf kujulikana angalau na member mwingine ili endapp litatokea la kutokea tupate taarifa? Kwa mfano mimi hakuna mtu yeyote anayejua kama id hii ni yangu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
A plane with 5 passengers was about to crash mid-air and there were only 4 parachutes. 1st passenger - Lionel Messi: I'm the world's best footballer, my fans still need me. He takes one and...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msiende kuripoti polisi Anzisheni thread JF, BUJIBUJI RUDI NYUMBANI. Mta save muda na nguvu na ujumbe utanifikia popote nilipo
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Dad: I want you to marry a girl of my choice Son: No! Dad: The gal is Bill gate's daughter Son : Then ok! Dad goes to Bill Gate Dad: I want ur daughter to marry my son Bill Gates: No...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
mkurya na ulokole wapi na wapi!! mchungaji CHACHA BHOKE MWITA alikuwa anakemea mapepo! mara baada ya kitambo kirefu cha kukemea, si mzuka ukapandaaaa...!!! sasa sikilizia maombi yalivyoendelea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani hii kitu imekaeje???
0 Reactions
1 Replies
802 Views
WALEVI WATATU WALIKODI TAX:- Dereva alivyoona wamelewa sana Dereva akawasha gari halafu akazima gari AkawAAmbi tumefika WA KWANZA Alimwambia ASANTE WA PILI Akampa hela na TATU Alimpiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LOVE IS...........!! 1- PAIN 2- BLIND 3- LIFE 4- EVERYTHING 5- DRUG 6- FAKE 7- NOTHING 8- TIME PASS 9- DON'T KNOW 10- GAME 11- BEAUTIFUL FEELING 12- Other...
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Leo jamani nimemiss sana Taarabu. Wale wapenzi wa taarab leo wapi? Nimemisje nyimbo za mzee yusuph!!!
4 Reactions
16 Replies
8K Views
Nimempenda sana huyu bibi harusi jamani, kapendeza sana, so natural Kanikumbusha sana siku ya harusi yangu..... niligombana sana na mpambaji na mapoda yake.... kila akinipaka namwambia punguza...
10 Reactions
151 Replies
11K Views
BARUA YA WAZI KWA BILL GATES Kwenda kwa: Bill Gates, Microsoft Kutoka kwa: Zuzu, Tanzania Tarehe: 5 April 2013 ... ... YAH: MATATIZO KWENYE COMPUTER YETU. Ndugu Bill Gates, Anko wangu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom