Hii ni jokes lakini imetokea kiukwellliiiiiiii...........majuzi nilipata mgeni na kwa kuwa vyumba vyangu vichache niliamua kumpeleka Guest ambayo haikua mbali na ninapoishi, ilibidi nimuache mgeni...
Nesi wa milembe alikwenda
kwa mgonjwa mmoja
akamkuta anaendisha gari
Nesi: " we zuzu unafanya nini?"
zuzu: "naendesha gari
nakwenda dar" nesi akaondoka zake.. Siku ya pili
akaingia tena akamkuta...
kuna jamaa alikuwa anapiga stori na jamaa zake, cheki maelezo yake;
JAMAA: Basi siku moja tulikuwa tumeenda kuwinda wanyama msitu mmoja kwa Madiba huko, basi akakatiza swala mbele yangu, swala wa...
Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe...
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa...
Usibishe...
1. Serukamba (mb) na Lusinde (mb) ni ndugu coz wote wanatukana popote pale
2. JK na Vasco Dagama ni ndugu coz wote wameenda kila part ya dunia
3. Osama na Lwakatare ni ndugu...
ST. KAYUMBA SCHOOL OYEEE
.. 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi)
when u saw me u started to six six..(uliponiona ulianza ku-sita sita)
u ran away n...
Kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni Akiwa huko, aliambiwa na Malaika kuwa ametolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama.
Kijana nae akachagua awe kuku. Mara...
Ni kijana mdogo, hana miguu lkn anasimama! Hali chakula lkn anatapika! Hana mikono lkn anachapa mtu mpaka analia! Ni mdogo kiumbo lkn hurefuka na kunenepa akifurahi! Ana jicho 1 lkn anaona kwenye...
jamaa mmoja alikuwa na wivu sana na mkewe kila sehemu atakayo pita anasikia watu wakimzungumzia,siku moja akanunua lipshine na kuimimina yote iliyo kuwepo na kuweka super glue ndani ya ile chupa...
Kuna jamaa watatu walikamatwa kwenye shamba la mzungu,akawaambia ili niwasamehe,kila mmoja wenu aingie porini na aniletee tunda ambalo sijawahi kuliona,jamaa wakaingia msituni,wa kwanza alimletea...
Hi
Ni furaha ilioje ndani ya moyo wangu ambayo nashindwa hata kuiziba
naona kama ngekewa vile au maajabu ya Mungu kuwepo tena siku hii.
ambayo kwangu imenipa kicheko na ushangao ambao siwezi...
Haya wale wa ar natia timu huko monday, hebu tell me how to utilize my two nights stay.
Sijawahi kukaa ar zaidi ya kukatisha tu nikitokea manyara. Nambeni semina elekezi wadau
unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.