JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
My friends
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbali ya kuondoa stress, pia miongoni mwa vilivyonifanya mie nikajoin Jeiefu, ni pale nilipogundua hapa members wanapanuana sana mawazo na fikra. Kwa muda wa miongo miwili kasoro robo niliokaa...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Dreva mmoja alikabidhiwa vichaa hospital ya muhimbil awapeleke mileme,alipofika chalinze akasimamisha gar apate breakfast,ndipo kichaa mmoja alipopitia dirishan akawafungulia vichaa wenzake wote...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu za kichina sio simu kabisa aisee! Ya kwangu imeanguka kidogo tu basi camera imepasuka,redio imevunjika, credit zote zimemwagika, phonebook imechanika, picha zilizokuwemo zote zimepeperuka na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kanuni 10 kwa wapenda offer 1. Muheshimu anayekununulia 2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini 3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa 4. Daima jitolee...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lione kwanza eti limefungua hii thread ili lichekeshwe, na ukiliambia ukweli linaanza matusi. Ka kweli umenuia kucheka zi uangalie Mr. Bean tu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya mikakati aliyotangaza JK baada ya kuingia ikulu Mwaka 2005, ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ametutoa kutoka; Mafuta ya taa...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Nimeamua kuhamia na huku ili nigonge kote kote MMU na CC......... meseji yangu kwenu ni hyo hapo chini "ALL GIRLS/LADIES AREN'T HOES AND ALL GUYS AREN'T PLAYERS, SO STOP SAYING THAT ALL GUYS/ALL...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii.... 1.Daktari anakuombea uumwe. 2. Wakili anakuombea upate kesi. 3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe. 4.Polisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninaogopa kulala, bora nikeshe... Hebu nisaidieni dawa ya kuyakabili haya MADUBWANA....
1 Reactions
33 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Nilikutana nao Club, hebu watambueani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU •••••••••••••••••••••••••••••• ••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi...
3 Reactions
148 Replies
7K Views
Minaona kilamtu agawanyiwe sehemu yake kuliko hivi wachache wanavyofaidi wenyewe Nipewe gold zangu 2 silver 2 tanzanite zangu 2 tembo wangu 2 nyumbu wangu 2 shama langu ekari 2 sijui bahari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii imetokea leo maneo ya Ubungo Urafiki ambako kuna kanisa la wazi na jamaa alikatiza hapo na kanzu na kumuona mshikaji wake ambaye ni mlinzi, ile jamaa anamsogelea tu kumsalimu waumini wakatika...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamaa watatu wamefanikiwa kufika kwenye kisiwa kisicho na watu wala kisichojulikana baada ya boti yao kuvunjwa na upepo mkali baharini. Ghafla wakaokota nyupa, ile chupa ikatoa sauti: "Kila...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Leo wakati najiandaa kwenda kibaruani kwangu nikakumbuka vitu vingi vilivyowahi kupita katika maisha yangu na its a nice memory asee; Brands kama hizi; Bodyline/Vaseline - Haya ndio yalikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU •••••••••••••••••••••••••••••• ••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU ••••••••••••••• -••••••••••••••• -••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom