JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani me mgeni hapa mza, nimefika jana tu, cjui pa kuanzia wala pakumalizia kuhusu kujirusha, tafadhali niagizien alhamis ya leo naweza kwenda wapi kurusha roho??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hodi wana chit chat.....mi mgeni upande huu wa chit chat naombeni kuungana nanyi jamani. Naombeni ukaribisho. asante sana na natanguliza shukrani kwa ushirikiano ntakaopata.
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Jaman nataka kujua yule mtangazaji wa radio one anaeitwa misanya bingi yuko wap?
0 Reactions
0 Replies
643 Views
GT, viongozi wa timu ya yanga wamekesha kwenye kikao wakiwa na kamati ya ufundi. pamoja na juhudi zote hizi imeonekana kuwa watafungwa magoli 2, hivyo uongozi umeshauriwa na kamati ya ufundi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yani ni full raha kwa sasa Dar aise,maji ya kuoga inabidi uyapashe moto khaa,kesho naenda kununua blanket ili niuonje usingizi wake.....Yani saaaaaaaaafi.Najua hata biashara ya wale dada zetu...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtambuzi Sijakuona muda kaka/shemeji yangu...........kokote uliko salamu hizi zikufikie wewe na mama ngina. Najua hii sredi yangu itatolewa hapa ila basi sawaaaaa mengine namuachia mode na invisible
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Chezea kizungu...Mama mmoja wa kijita alienda hotel ya watalii, kwa mara ya kwanza. Kwa pozi akaketi meza 1 na wazungu watatu. Mhudumu akaja kuwauliza wanatumia nn? Mzungu wa kwanza akasema "JOHN...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
0- You are a trouble maker 1- You are very kind 2- You are very funny 3- You are intelligent 4- You are sincere 5- You are careless 6- You are neat 7- You are handsome/ beautiful 8- You...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Yaani sometimes inabidi tu tuwahurumie nahisi uelewa wao hauko sawa..kuna msichana nilimpeleka kwa mama yangu..akakaa nao karibu miaka 3 akiwa huru(jumapili the entire day anaruhusiwa kwenda...
3 Reactions
79 Replies
6K Views
1 Reactions
68 Replies
3K Views
Jamani ungaltd kuna baadhi ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa njoo ucheki hapo chini yan...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Mwizi kaoa mchawi na kabahatika kuzaa nae mtoto mmoja ambae ni Changudoa. Swali, je ni nani atabaki na nyumba usiku?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BARUA YA WAZI KWA MWALIMU NYERERE, Mei, 2013 Mpendwa Mwalimu, Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika. Siku hizi mlima Kilimanjaro upo Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
...na wengine wote humu ndani, hamjamboo?
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Panya alikwenda kanisani kusali, akiwa amepiga magoti akageuka pembeni yake akamuona paka amekaa, panya akamwambia paka humu tumekuja kusali mambo ya kufukuzana na kulana hayafai huku, paka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mlevi kamkuta mlevi mwenzie analia nje ya baa; KOLU: We vipi tena unalewa mpaka unalia? Au umeishiwa hela ya kunywa nikakununulie? DOLU: Nimejitapikia, mke wangu mkorofi nikifika atanidunda sana...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wa A-Town hawaonekani.. sijui mmejifichia wapi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU ••••••••••••••••••••••••••••••••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna yule mlemavu wa fire bus stand alikuwa mpigadebe...at that time kituo kile ni maarufu kwa wanafunzi wa Tambaza,Zanaki,Jangwani,Azania na Mzizima.......alikuwa anatembelea gongo moja anamwaga...
0 Reactions
2 Replies
751 Views
Tunataka sera ya taifa ya Nsenene... Kwa nini serikali hawaoni hili...... Infwact, Hivi serikali hawajui wakiwekeza kwenye viumbe hawa tukaanza kusafirisha nje ya nchi kama kule Kentucky kwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom