Kiukweli hata uangalie vp huwezi filisi au chukua kitu kwa macho, hata mzigo kama huu hata uangalie vp utaishia kufaidi au watoto wa mjini wanasema kula kwa macho. Mzigo kama hii kweli mwacheni...
Nimeenda Bagamoyo,nimevunja nazi,nimepeleka njiwa mweupe,lakini bado hutaki ku-reply pm zangu,sasa liwalo na liwe na kama hutasema chochote mpaka j2 ya tar 19.05.2013 saa5.59 usiku basi ujue...
Habari zenu wana chit-chat.
Sina Mengi zaidi ya kumwomba msamaha my wife Arabela kwa kupotea sana tena si kidogo najua anafahamu ila alimwaga ya moyoni ili nirudi mapema,ni kweli nimekuwa na...
Kwa yeyote mwenye taarifa zake jamani atueleze ni nini kimempata maana ni siku nyingi sana sijaona thread zake na michango yake mbalimbali yenye kufundisha wana CHI-CHAT walio wengi watakubalina...
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi...
Wakuu, hapa ninapokaa, kuna uani mkubwa umezungukwa na nyumba upande mmoja, halafu kuna kamba nimefunga mbele ya mlango wa nyumba ninayokaa.
Sasa kuna mashindano yasiyokuwa rasmi yameibuka...
Mhe:(MB)mwangungu hivi punde akichangia katika wizara ya miundo na ujenzi KATIKA KITU AMBACHO SIO CHA KAWAIDA AMBACHO HAKINA TOFAUTI NA MAMBO YA UDAKU.
amemwambia John pombe magufulu amekuwa kama...
During the exam, Akpos kept looking under
the table, then he would write on the answer
sheet.
His teacher saw him doing that & thought he
was copying. ?
When collecting the paper after the...
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v
nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa...
Wana wa Bodi wenzangu, kwa heshma kubwa, sanjari na taadhima.
Fursa naichukua kulifahamisha jukwaa, kwamba watajwa hapo juu tuliingia ndoani rasmi tr. 11 may 2013 Tanga mjini.
Labda mtaniuliza...
bibi mmoja alikuwa kibogoyo, ck 1 akapita sehem moja palipokuwa na mkutano wa injili .
akamsikia mhubiri akisema;
siku ya mwisho ni kilio na kusaga meno. yule mzee alisikika akifurahi sana...
Recharge Successful.You have recieved tsh:5000.
no. 07***658 Deductions;
>VAT 25
>Inflation adjusment 15%
>Pay as you Ta 10%
>System Maintainance fee 20%
>Tanzania for tanzania deduction...
Wapendwa simaanishi kuwarudisha kijijini, I mean nyumbani CHIT CHAT.. Hawa wapendwa tulikuwa nao sana humu lakini wameadimika ghafla na hawapatikani kama ilivyokuwa siku za nyuma...
Nawaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.