JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mwanafunzi mmoja alikua kimbelembele sana kwenye kujibu maswali ili apate maujiko kuwa anaakili sana siku mmoja alijikuta akimzimisha mwalimu wake kwa mshangao ilikua hivi,mwalimu:Nani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matokeo ya mitihani ya milembe katika darasa fulani la machizi yalitoka swali ni kwamba kati ya chizi aliyekuwa wa kwanza na yule aliyekuwa wa mwisho nani chizi zaidi?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi nawezaje kujizuia kutoumia pale napohisi kutoaminiwa na wale niwapendao?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
How many people have you had sex with? Have you had sex without a condom? Have you ever had unprotected oral sex? Have you had more than one sex partner at a time? Do you inject illegal drugs...
0 Reactions
56 Replies
22K Views
Masista (nuns) wawili toka Tanzania walialikwa kwenda kutembelea Marekani. Walikuwa wamesikia mengi juu ya "fast foods" za Marekani na jinsi Wamarekani wengi wanavyozipenda. Basi siku moja wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kijiji fulani wanakijiji walimkuta mhindi mmoja akiwa kando ya mto akilia kwa uchungu; Mhindi: Saidia mimi, dugu yake napotea! Saidia mimi dugu yake toka Italy nazama maji mie hawezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nahitaji demu wa kufumua leo wa mabibo hostel
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari, Ninaenda Songea kikazi na ni mara yangu ya kwanza. sijajua ntapataje hotel nzuri na nitafika jioni sana. fungukeni nisije nikaenda hotel za ajabu ajabu
0 Reactions
35 Replies
7K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU •••••••••••••••••••••••••••••• ••••• Jambazi: "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Yaani leo niko very very low,out of mood yaani acheni tu...mwenye kuweza kuibadili hii mood yangu anisaidie
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Bei sawa na buree kinywaji bora toka mbugani
2 Reactions
10 Replies
2K Views
binafsi nimeziona na kuzitumia baadhi..na zingine nitazitumia najua hata wewe pia umeziona na umezitumia hebu niwekee chache....TWENZETUuu
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari wana cc wote Nategemea mko fiti na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku kwa wale wasomi wako madarasani sasa, na wafanyakazi vivyo hivyo na wafanyabiashara leo mnaangalia soko...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii ni habari iliyodhibitiwa,sir alex furgason amesign mkataba wa miaka 6 kuifundisha liverpool kuanzia msimu ujao..source mimi mwenyewe.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
A man dials his home and a strange woman answers. The man says, "Who is this? " "This is the maid," answers the woman."We don't have a maid," says the man. The woman says, "I was hired this...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna makabila mengine yanaleta utata hadi kwenye utumishi wa Mungu. Msikilize mchungaji mwenye asili ya kabila la wakurya alipokuwa akimuombea mgonjwa mwenye mapepo. Mchungaji: shetani toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Boy: Marry me? Girl: Do you have a house? Boy: No. Girl: Do you have a BMW car? Boy: No. Girl: How much is your salary? Boy: No salary. but... Girl: .....no but. You have nothing. How can...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
CHEMISTRY CLASS Professor: Chemical symbol of Barium? mulugo: BA Professor: For sodium? Mulugo: NA Professor: What will we get if 1 atom of BA & 2 atoms of NA are combined? Mulugo: BANANA!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtoto amekaa juu ya kaburi analia ghafla wanapita watu na kumuuliza unalia nini? akasema kaka wa maiti ni mjomba wangu je maiti na mtoto wana uhusiano gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Caller: Hello, can I speak to Annie Wan ? Operator: Yes, you can speak to me. Caller: No, I want to speak to Annie Wan! Operator: Yes I understand you want to speak to anyone. You can speak...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom