NAY FT DIAMOND ..
SONG: MPIRA GANI?
CHORUS
DIAMOND.
HIVI nyie SIMBA SPORT Mnachocheza
kitu gani,
Mara WATOTO mara Kukosa penati
sasa
ndo mpira gani.
NAY WA MITEGO.
HII ndo Simba SC...
Ulizuka mjadala mreeeefu na mkali kuhusu dili la kupiga hela fasta, kati ya pembe na mikataba, kinana akitetea kwa nguvu zake zote kuwa mambo yote PEMBE, mwisho wa siku jk akajikuta anatishia kwa...
Jamaa alioa kwa furaha nyingi na vifijo na hatimae kuanza kuendelea na maisha yake. Lakini hata wiki mbili hazikupita ndoa ikaanza kuwa chungu maana kila alipokuwa nyumbani mke alikuwa anataka...
habari humu jamvini nimetokea kufurahishwa sana na uamuzi wa my ex husband kuwa amepata jiko jipya kwa moyo mkunjufu kabisa Ynnah karibu ktk ulimwengu wa malovee na bwana judgement ila tuu kua...
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo
limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"
Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa
uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za
Asubuhi..
Siku ya pili...
KALI YA LEO
Mchungaji mmoja kabila mchaga alikua anamuombea jamaa mmoja ili pepo litoke...
mchungaji;pepo shindwa nakwambia leo utanikoma utatoka haleluya
pepo;sitoki wala sikuogopi...
Wadau,nimepata kuskia katika kituo flani cha redio nchini kenya wanaume wakipiga simu na kukiri kuwa walibubujikwa na machozi baada ya kuangalia hatma ya kipindi almaarufu kwa jina IN THE NAME OF...
nimeona niende mjini MMU nikatafte mke mana huku kijijin chitchat nimeshindwa kupata mke baada ya Kipipi kupotea kwenye tv yetu ya asili tunayoendaga kuangalia pale kwa mzee MziziMkavu.kwani...
HABARI ZENU WOTE.
Bila kupoteza muda napenda kumuaga my wife Arabela kuwa nasafiri kidogo naelekea ntwara,kuna shughuli ya kufanya huko.Ntarudi baada ya siku tatu.
Lakini ntakapo rudi ntatoa...
Kuna sehemu ya post ambayo mara nyingi huwa siisomi, nayo ni signature ya mwandishi. Leo nimekutana na post moja iliyokuwa inarekebisha signature ya mwana JF mwingine nikaamua kupitia signature...
HUSBAND WRITES TO WIFE:
Dearest Sweetheart,
I can't send my salary this month, so I am
sending 100 kisses. You are my s weetheart, your
caring and loving husband.
HIS WIFE REPLIED BACK AFTER...
Dokta yuko na walevi anawapa
ushauri kuhusu afya zao: Jamani
hivi mnajua kwamba pombe inaua
polepole? Mlevi mmoja akaibuka
akamjibu: We dokta vipi? Kwani
nani kakwambia sisi tuna haraka?
Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana...
Akpors: Daddy, I fell in love &
want to date this
awesome girl
Father: "That's great son. Who is
she? Akpors: "It's Sandra, the
neighbor's daughter"
father: "Oh I wish you hadn't
said that...
Umekwenda church na ulipokaa pembeni yake amekaa mpenzi wako wa zamani uliyemfuma live na boya mwingne then mkaachana. Mhubiri anawambia waumini mtizame wa pembeni yako mwambie "NAKUPENDA"
Wanandoa waliachana wakiwa na mtoto mmoja,sasa kila mmoja anadai yeye ndiye anastahili kumtunza na kuish na mtoto mzozo ukawa mkubwa wakaamua kwenda mahakamani,kila mmoja akaanza kujitetea mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.