Mrembo by Nature, Jumamosi ulinifanya niwe nafuraha na kuona dunia nzima niyangu kwa raha ulizonipatia.... hadi sasa ivi nikikumbuka yaani yaani dah! basi tu, sasa nauliza utaniacha lini au kabla...
Habari ya asubuhi,habari ya mchana,habari ya jioni kwa ujumla.
Nimshukuru mke wangu Mrembo Arabela kwa dua zake kwangu ambazo zimefanya nifike salama hapa kijijini ntwara,pia niwashukuru...
Jamani sisi tunaoishi mikoani tunakosa mengi,tukija DAR tunatamani kubaki huku,eti
-club nzuri ziko Dar
-Pub za uhakika
-Watoto wazuri
Kwa kweli Dar kutamu balaa,hata huko Tmk tunakosikia pabaya...
Unakuta mke ameingia kwa jina lingine, mume amejiregister kwa jina lingine, wapostiana, unafika wakati wa msg za PM, unakuta, mhh, akitupia number ya simu, unaifahamu, unapotezea. Nyumbani maisha...
Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao...
Sim ya kichina sio sim jamani...
Sim imeanguka kidogo tu,
Camera imepasuka,
Redio imevunjika,
Credit zote zimemwagika,
Phonebook imechanika,
Picha zote zimepeperuka,
Na friends zangu wa FB...
jamani tutokapo nyumbani tuakıkıshe tuko kamili katika kila kitu sababu chochote chaweza kutokea
sasa ebu angalia huyo dada aliyokochini tuseme alisahau kuvaa chupi.
haya bana thanks Elizabeth Dominic kwa suprise uliyonipa ghafla, hope salam kwa charminglady na JF wing ya RockCity mtazipata salamu, nawapenda sana
ila usifikishe salamu kwa Chimbuvu
mtoto na baba yake:
mtoto:kwan baba
unataka kuanza tena
shule ya msingi?
baba:kwa nini
mwanangu?
mtoto:jana usiku nilisikia
mama anakuniong'oneza
eti mwende la pili au?sasa
nashindwa...
MUME: "kila siku mie nakushangaa sana mara useme TV yangu, gari langu, chumbani kwangu, watoto wangu.
Sisi ni mume na mke, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana."
Mke akajifanya yupo kimyaaaa...
Jamaa flani Msafishaji wa Ndege
aliokota kitabu kimeandika; 'JINSI YA KUPELEKA NDEGE' wakati anasafisha ndege moja.
Akafungua ukurasa wa kwanza akasoma, "Ukitaka ndege iwake bofya kitufe...
She comes everyday................ comesn't she?
He took you to the hall.............tookun't he?
They are eating each other............eatingn't they?
She drives...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.