Kama wewe ni Zee la Totoz, mida kama hii ukiwa kule FB uta-enjoy sana; yani ni mwendo wa ku-chat mwanzo mwisho! Sasa huku JF ni majanga matupu... Teh teh! PM zimenuna!
Jamaa bonge la mtu kaingia kwa dokta.
Jamaa: Dr. nina tatizo huku sirini.
Dr: Hebu vua nguo tuone.
Jamaa: Poa navua ila plz usicheke, narudia usicheke.
Dr: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi...
Korosho ni zao la kusini..
Na kuna mtu nimemsikia akisema kua asilimia kubwa ya watu wa kusini wana roho za korosho. Ndio maana wako teyari kufa kuhakikisha gesi hawapati watz wengin isipokuwa...
Hata uwe kauzu kiasi gani huwezi kujamba wakati unatongoza.
Hata njiwa 'Ana Makinda' lakina hawezi kuwa Spika wa Bunge
Hata uwe bishoo kiasi gani huwezi nyoa kwapa Kiduku
Urefu na Ufupi ni...
NYIE ambao ID zenu zipo red red kama Invisible Mamndenyi @pakajimy Mtambuzi Bishanga Erickb52 twin wangu FP Slave Bishanga -lakini sitaki sifa kama wewe una red red na ki badge cha mererani...
Nimeikuta hii katika blog ya Swahili Time nikaona si vibaya tukiulizana na kupeana sababu tofauti...
Swali uliulizwa:
Hawa najiuliza, kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa...
Football vs Sex.
1. Going to your bf/gf without being
invited = OFFSIDE>:/
2. Dating a girl today and having
sex on
the same day = FREE-KICK/:) 3. Condom = GOALKEEPER
4.Condom breaks =...
Wadau mi nataka kupiga kura ili kuwafanikisha wabongo kushinda ila naomba kufahamisha. BBA ina maana gani, ina vigezo gani kuingia na wanafanya kipi tofauti au cha maana wanapokuwa s. Afrika...
Weekend yetu si nzuri wapendwa...bibie wangu Kipipi hajisikii vema ila namwomba Mungu amponye haraka.
Chocs popote ulipo naomba uje umsaidie mke mwenzio.
Get well soon my love!
masai alimuona jamaa yake akienda chooni na maji uzalendo ukamshinda akabidi aulize hey! Rafiki mbona waenda namaji chooni kwani muk..uundu iko na kiu.
Shekh mmoja aliletewa pensi na rafikiye wa oman kwa ajili ya kuvalia na kanzu! Siku moja alisahau kuivaa akavaa kanzu tupu ,akiwa anapata udhu alikunja kanzu mpaka kiunoni wenzake wakamuuliza e...
Wanafunzi ambao walianza darasa la kwanza mwaka 2002 ni wanafunzi ambao wana bahati sana,walipoanza shule tu ada ikafutwa,walipofika darasa la nne tu kurudia darasa kukafutwa na hatimaye kuibukia...
Hamjambo wanachitchat? Mimi mzima wa afya ila naingia hapa kwa huzuni kubwa.
Wapendwa, mtakumbuka kwamba nilikuja hapa chitchat tarehe 9/5/2013 kueleza nia yangu na sababu ya kubadili avatar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.