JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kwa mara ya kwanza napenda kutangaza ndoa kati ya mtz one na Madame B hivyo yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii ajitokeze nawasilisha
2 Reactions
209 Replies
10K Views
Ukiachana na mambo ya sayansi ya usomaji viganja na ile uhusuyo maumbile ya mkono, kiganja kina siri nyingine kubwa!! Wenye viganja vikubwa ni watu wenye bashasha wakati wa kusalimiana na ni...
1 Reactions
30 Replies
17K Views
Dokta wa vichaa aliwachukua machizi wawili na kuwaingiza kwenye chumba chenye giza totoro.Akawasha tochi kisha akawaambia wale machizi wapande ule mwali wa mwanga kisha waelekee makwao...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Deadlock Boss said to secretary: For a week we will go abroad, so make arrangements. Secretary make call to Husband: For a week my boss and I will be going abroad, you look after...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Sio kila aliyeingiza mikono mifukoni anatoa pesa,wengine wanachezea pumbu tu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmewe. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtu akikwambia " usiniletee mambo ya uliberali, pigana hahahahaha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sosoliso , Baba V , mtuache na familia yetu mbona mnatuzonga zonga sanaaaa.... Popote nitapo kutana na nyie cha moto mtakiona... amu amu amu nakutazama tu... wewe unafurahi mie kuachwa>? mie hadi...
2 Reactions
81 Replies
4K Views
Bandugu kwa mamlaka niliyonayo kwa mujibu wa sheria na taratibu na makubaliano yetu hapa chit chat nachukua nafasi hii kuwatangazia rasmi ndoa kati ya kabanga na bibie Smile baada ya kuwa...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Hi all CC Members Hope mko oky na mnaendelea na shughuli za kimaendeleo na kitaifa pia Awali ya yote namshukuru Mungu mwenye enzi muumba mbingu na nchi aliyeniweka mpaka sasa na kuona nuru na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
..ni nani kati ya watu hawa huwa anaongea mambo yasiyomuhusu..? ..na ninani huwa anabadili mambo ya ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli..?
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Jamaa kapeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi. Fundi: Nilipake rangi gani? Jamaa: Yoyote ile isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, manjano, kijani, wairdi, nyeusi, chockleti, kijivujivu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada yamaakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
A very sad Chinese story: 朣楢琴执 执瑩浻牡楧 硰执 执獧浻牡&#26983...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba alinunua robot ambayo nna uwezo wa kutambua kwamba mtu fulani amesema uongo na huwa inamchapa kibao mtu huyo" siku moja baba akamuuliza mwanae mwanangu mtihani wako wa kisw. Umepata ngapi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilifikiri Chadema Wakorofi Bungeni tu! Kumbe hata Hotelini..! Jana Wakiwa wanakula! akaanza (Wenje) Mwongozo wa Hotel, chumvi haitoshi..Mnyika: Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa Jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenda..: Muheshimiwa mwenyekiti wa Chit Chat..! Nakuomba unisamehe, kwa kosa la kutaka kukupindua, yanayo nikuta ni zaidi ya majanga. Sitorudia tena mwenyekiti wangu Baba V hata daddy nae...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nawaita wazee woote wa CHIT CHAT mnao jua mambo ya Astrodienst Horoscope na Astrology ili mniambie kwanini nafsi yangu inatamani kufanya jambo nisilo lijua? kuanzia juzi naota ndoto sio...
1 Reactions
99 Replies
5K Views
A Professor explained Marketing to MBA students 1. You see gorgeous girl in party, you go to her & say I am rich.. marry me That’s Direct Marketing. 2. You attend party & your friend goes...
1 Reactions
0 Replies
476 Views
Yupo jamaa mmoja anapitapita hapa jijini Dar akisimulia masuala ya Free Mason. yeye alijitambulisha kama Mlokole kutoka Kenya. Jana alikuwa kariakoo. Nilijaribu kumslikiza kidogo. kwa vile huwa...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom