JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani! Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa. Mzee aliposikia hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Helow Tanzania! "I am very happy to share with u this beautiful moment of my life." Mwezi wa tatu nilichaguliwa na kampuni ya Gold films company ya Australia (Nimewai kuwa field kabla)...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamaa kaweka sahani mezani ile anataka kuanza kula tu mlango ukabishwa. Ikabidi aiweke sahani chini ya kochi akafungua mlango. Mgeni: Mbona kwenye kiti panatoka moshi? Jamaa: Aah! Si unajuwa...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
heshima kwenu wakuu,kama kuna mtu anazo anuza ziwe used au mpya please nomba kujuzwa,au japo nielekezwe zinapatikana maduka gani hata nikiambiwa na bei pia haitakuwa mbaya,thanks, in advance
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Thanks JF I got a friend in Mwanza
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa? Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: Ndiyo atapaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimekimbia jukwaa la siasa ni hatari, huko hapafai, kwamtu anaetaka kuwa hewani mdaote JF, hivyo mnikaribishe kwaupole, hasa (chuchuchu, tototo) wa humu,huenda wakapata bahati ya kupolomoshewa...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Hahahaha wamachinga wa ubungo balaa yaani baada ya magufuli kuwapiga biti na kuwataka waondoke wenyewe ndio wameamua,wafute kbs maneno ambayo yapo kwenye bango linalowataka waondoke nakubakiza...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Kiongozi mmoja wa dini fulani alikuwa akiwashauri waumini wenzake kuhusu kuzungushia wigo makaburi ya ndugu zao! Ghafula mlevi mmoja akasema mimi nna swali! Kiongozi: we uliza tu hapa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii nimekutana nayo leo kwenye phone bible yangu. Mithali 6:32-33 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa mmoja aliyekuwa na mke na mtoto mmoja apatae miaka kumi alipanga chumba na sebule, sebuleni alikuwa akilala mwanae ambaye alijihusisha na shughuli ya kuuza miwa kwa sababa yeye alikataa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
CKIA CMU KUTOKA U.S.A OBAMA: vp dogo mambo yanaendaje? KiKWETE: poa kaka shikamoo! OBAMA: marahaba dogo! Dogo yule raisi wa china kafuata nini huko? KiKWETE: kaja hutubia kaka!Obama: kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alifanyiwa upasuaji wa pumbu zake , sasa wakati dokta anaendelea na upasuaji ghafla alitokea paka na kubeba mbegu ambazo dokta aliziweka pembeni kwa ajili ya uchunguzi! Dokta kuona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Ni muda mrefu sijatia maguu humu CC, nilikuwa nachungulia kupitia dirishani kinachoendelea. Jana nikaingia humu ili kuondoa stress, yaliyonikuta hapo mlangoni huenda hivi sasa...
6 Reactions
439 Replies
17K Views
mzee kanunua simu akawa amekaa na mwanae sebuleni akiwa anatest milio ya simu aliyokua kainunua mara dingi akajamba pwii!mtoto akadakia ''Baba huo usiuweke unaharufu mbaya!!!!!:kev:
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie mahala pa kujirusha leo ijumaa!Nina ham sn ya kwenda musiki.Km unafaham jahaz,fm academia au twanga pepeta wanapiga wap leo.Nawasilisha.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
"Doctor, I have an ear ache." 2000 BC - "Here, eat this root." 1000 BC - "That root is heathen, say this prayer." 1850 AD - "That prayer is superstition, drink this potion." 1940 AD - "That potion...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani kama ifuatavyo!Mchungaji: mungu yu mwema mgeukie mwenzako na mwambie na umwambie mungu yu mwema!Waumini: (waligeukiana na kuambia hvyo)!Mchungaji: leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku moja MUME na MKE walikwenda Zanzibar............................(itaendelea wakirudi!):heh::heh::heh:
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Nilifikir CHADEMA wakorof Bungen tu! Kumbe hata hotelin...! jana wakiwa wanakula akaanza WENJE: Mwongozo wa hotel chumvi haitoshi..! MNYIKA: Taarifa Mheshimiwa! Mchuzi unaonekana wa Jana siungi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom