Ahsante kwa huruma yako ya moyo.
Mungu hapendi wizi kabisaaaa!!J'pili kuna ugeni mkubwa unakuja kwa wazazi wako saa10.30 jioni,naleta posa honey ili nikumiliki kihalali.
Najua Paw umeshampa...
NANI HASA MMILIKI WA MWANAUME, MAMA YAKE AU MKEWE? Fuatilia mabishano haya:
MAMA: Mwanangu lazima aniheshimu mimi, alinyonya maziwa yangu takriban miaka miwili.
MKEWE: Mimi ni zaidi ya miaka...
Ndugu wana CC,
Kutokana na kushamiri kwa watu kuchumbiana na kuona hapa jamvini, nami pasi hiyana napenda kuwatangazia kuwa nauza na kukodisha nguo, viatu na vikorombwezo vyote muhimu vya...
Wakati ana-ripoti kujiunga na JKT, John Mboya aliulizwa getini:
Afande: Kijana hapa ukiulizwa swali jibu unalotoa lazima umalizie kwa kusema "afande". Sawa kuruta?
Mboya: Sawa afande
Afande...
Viongoz wa Tanzania:
Wanaweka pesa Uswis,
Wanatibiwa India,
Wanajenga London,
Wanawekeza U. S. A au S. Afrika,
Shopping Dubai,
Likizo na matanuz Paris na kuungama wanaenda Israel au Saudi...
Hivi jamani MAMA MARIA NYERERE akiamua aolewe leo huyo mme wake tutamuitaje?Baba wa kufikia wa taifa?Baba wa kambo wa taifa?Baba mdogo wa taifa??Au mlezi wa taifa?
Kwa yeyote mwenye ufaham! Hivi DSTV usipolipia zile FTA Channels zitaonekana free au?? Na kama sio hivyo ni kwa nini?? ... Ila naona only TBC inaonekana, ni kweli au ni leo tu??
Lool! ratiba yangu wiki ya kuanzia Tarehe 3/6 itakwa hivi: Tarehe 3 nitasafiri kutoka Tanga kuelekea Dodoma, Kwaherini Wana JF -Tanga wing, Hodihodi Jf Dom wing kama mpo. Natamani kuwa mjengoni...
Baada ya pilika pilika za Daslam nategemea kuwa Mikanjuni Tanga kula bata na shemeji/wifi yenu huyu hapa. Wana Tanga Wing nipokeeni na Ratco bus la saa 8.00 mchana. Fukwe ya Tanga ni nzuri sana...
walimkalibisha mgeni chakula jamaa akawa anakula ugaritu bila kula mboga wakamwambia (ubhetamo nomikobhe) yaani uweunapita na kwenyemboga wakiwa na maana jamaa awe anakula na mboga, jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.