JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ila awe na asset kwa kampuni kama Natasha. job interview - YouTube
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani na nyie tenganeni mtuachie hata nafasi wengine...... 1. watu8 na measkron 2. sosoliso na baby Paloma 3. Judgement na YNNAH 4. Madame B na Arushaone, Chimbuvu, na wengine walio baki kama...
6 Reactions
169 Replies
7K Views
Leo wakati nawahi kutafuta ridhiki nimekutana na hii kitu njiani karibu na shamba la mahindi mara kwa kwanza nilishtuka nikakumbuka kuna Yesu na Mtume nikataja jina la Yesu na Mtume Mohamed...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
teacher: What do you call a fish without an eye? student:fsh kapata ama kakosa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Acha uadui,ugomvi,fitina,wivu,uasherat,uzinzi,wizi,uongo,usengenyaji na maneno ya uchochezi. Tutakuwa salama wote.
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Nafasi nachukua,shairi kukuandikia, Albert Mangwea, uliyetangulia, Asili ya Songea,mzaliwa wa Mbeya, Mangwea tangulia! Nilianza kukusikiliza,ili kukuelewa, Mengi ukanifunza,hadi kunogewa, Kwa...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
kutokana na tabia yake ya kuparamia mali za watu kwa muda mrefu hatimaye za mwizi arobaini,mwenyekiti wetu Baba v yamemfika ya kumfika kaja kuparamia ukuta wangu kwa kasi ya ajabu akiwa amevalia...
3 Reactions
83 Replies
5K Views
STORI YA MAPENZI Siku moja MUME na MKE walikwenda Zanzibar...........!(itaendelea wakirud)
1 Reactions
13 Replies
1K Views
mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni,mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo,mtu chake apendacho hakina ila machoni huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,.mapenzi hayachagui kabila...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Hii kitu imekua ikisumbua sana kichwa yangu,maana tumezoea kusikia watu waliogundua sijui ziwa victory,mlima kilimanjaro,bagamoyo,sijui mara HIV inapatikana pia kwa kugegedana,mara kagundua...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Dereva tax alimpakiza mzungu kwa bahati mbaya yule dereva ukamtoka ushuzi wa kimya kimya. Dereva akadhani mzungu hajashtukia. Jamaa akazuga kwa kuanzisha mazungumzo na kumuuliza mzungu “Je hali...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Betri ina jaa charge baada ya dakika tatu 2. ina TV, TOCHI na mswaki 3. NDEGE ikipita karibu simu ina andika 1 MISSED CALL 4. Ukiwa karibu na JIKO inaandika CHARGER CONNECTED 5.Ukipita karibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikua nasikia kama hadithi za kusadikika vile.......lakushangaza ni kweli. Jamaa yupo bomba mbaya ila analalama kila akimtokea demu anamjibu ' Usinidanganye na uzuri wako huo usiwe na mtu'...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Salamu kwa wote, nimekwama, nina vifaa vyangu naviuza, kama uko vizuri au unaweza kukopa sehemu uvichukue. najua vitakusaidia sana kufungulia ofc yako rasm.! Nauza vifaa vyangu vya uganga...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
@St. pakamweusi mannoah na Filipo Naombeni mjibu PM zangu as soon as posible. Kumbukeni Leo ni Tar Ngapi na ni siku gani
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Nime mwacha home ananpigia no#mpy kisha anasema ucpge hii no# ya mgn wajilan mi kupga kumbe jama tena yuko posta.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
A sexy beautiful girl died of AIDs and soon after her burial her grandama went to her room to pack her belongings so that another person occupies it. As she was packing she saw a g-string and she...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Ngwair alikuwa kabeba madawa tumboni au alitumia tu ? Hichi kinaleta sintofahamu miongoni mwetu.Kuna video iliyowekwa youtube ikimwonyesha uchi akipasuliwa na madawa kutolewa tumboni kama ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla. Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi all... Uncle wangu yu mgonjwa sana... Naomba mumkumbuke katika maombi yenu! Ahsanteni!
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom