LEO ni Siku ya Watu Wenye Wapenzi zaidi ya Mmoja, Kauli Mbiu:- "EPUKA KUSEMA SINA MWINGINE ZAIDI YAKO". Tuma sms hii kwa Watu unaohisi wanao Wapenzi zaidi ya Mmoja! Kama MIMI nilivyokuhisi...
"What would you do if I died? Would you get married again
HUSBAND: "Definitely not!"
WIFE: "Why not - don't you like being married?"
HUSBAND: "Of course I do."
WIFE: "Then why wouldn't you...
Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kuiona siku ya leo ambayo tar kama hii 29/05 miaka 26 iliyopita ndio nilitambulishwa rasmi dunian.
Thanks kwa wazazi wangu kwa kunikubali kunilea na kunifunza...
Hili jina nimejaribu kupata uenyeji wake nimekosa. Kuna mtu katapeli rafiki yangu anaitwa Raymond Lisakafu na hatujui tumpate wapi. Hivi Lisakafu ni wenyeji wa mkoa upi
Namshukuru sana Mungu kwa matendo yake ya huruma, mnamo tarehe 24/5/2013 siku ya ijumaa saa 3.45 asubuhi,mke wangu alijifungua kwa njia ya operation pale Amana Hospital nakupata mtoto wa...
Mateja watatu walikuwa wakihangaika kuangua embe! Waliangua kwa muda mrefu lakini hakuna aliyefanikiwa kulidondosha! Teja mmoja akaamua kupanda juu ya muembe kwenda kucheki kama ile embe itakuwa...
Hii nimekutana nayo mitaa ya kinondoni asubuhi ya leo.
Gari hili inaonekana registartiona namba yake halali imefunikwa kwa kubandika hii juu yake.
Kwenye kii inasomeka namba T925AGP
Nimejiuliza...
Juzi nilikuwa nawatch habari..kufika habari za michezo na burudani..ikaja habari ya mchakato wa miss kitongoji nanihiii..loh jamani hao visura mmh...mtu anavyojitambulisha tu unamuonea...
Bandugu wa JF Tanga Wing naomba muunge mkono wazo la kwenda kupanda mlima Kilimanjaro kwa pamoja. Naomba wahusika mtoe hoja za kuunga mkono ama kupinga hoja hii ama muongozo wa namna ya kuchangia...
1. Chagua namba zozote mbili tofauti
2.Zidisha mojawapo ya hizo namba kwa 2
3.Jumlisha 5 kwenye jibu
4.Zidisha jibu ulilopata kwa 5
5.Jumlisha namba ile ya pili uliyoiacha mwanzo kwenye hilo...
hapo zama nilikua naish kitaa kimoja chauswahili na nilikua bonge labishooh kwakuwabadili madem na pamba zangu zakuazma huku nikijifanya mie anderglaund wa hip hop madem walinipenda xana na kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.