JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefikiria kwa hali ilivyo hapa nchini ikifika wakati umeweka ka vocha kwenye simu yako lakini kinachokukuta ni hiki.. Recharge Successful.You have recieved tsh:5000. from no. 07*****658...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa tarehe 13 inahusishwa na shetani Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha hata kufika hapa... Nawakaribisha wana JF wote watakao weza kufika nyumbani Kibasila str karibu na...
25 Reactions
136 Replies
7K Views
leo sikwenda kazini basi niko bored kweli,nahitaji mtu ambaye yuko free kama mimi ani-PM tuchat walau kusogeza muda mbele tukisubiri time za bia na nyama choma. mademu watapewa nafasi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Foleni Dar es Salaam ilikuwa inasababishwa na askari wa Usalama Barabarani. Toka juzi tarehe 14/05/2013, natumaini wengi mtakuwa mmeona mabadiliko makubwa kuhusu uwepo wa askari wa usalama...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Where sex is free and love is costful.............Where loosing a phone is more painful than loosing than loosing virginity..........Where if you dont cheat on your patner; your not smart and...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Jane was called by an Unknown number. UNKNOWN: Hi, do you have a boyfriend? JANE: Yeah. UNKNOWN: So you have a boyfriend. Its your dad. I'm coming so that you'll tell me when you grew horns! Next...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
He! Wakuu kumbe leo sijawasalimia!Asalam alaykum? Oh haleluya.!?bwana yesu asifiwe.!?Mswano?How are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wachungaji 3 walikutana waelezane matatizo yao ili waweze kuombeana wa kwanza akasema jamani mimi tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazima niibe hela za sadaka,Wapili akasema jaman...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya mmea hatari kuota jijini Dar na kuripotiwa Jamii Forum. Angalia: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/280984-ni-mmea-hatari-umeota-kwenye-barabara-za-jiji.htm...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
"Mchungaj mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "mashoga" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
zuzu aliposa, akaambiwa mahari million 5, akasema kwa mshangao, HE MILIONI 5? wakati kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu tena binti ana MIMBA KABISA!
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mention "MOTTO" of the primary and secondary school U̶̲̥̅̊ attended. Kwangu! Elimu ni ufunguo wa maisha Bidii elimu na kazi ni msingi wa maisha
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi mfano wakoloni waliotutawala wangekua ni WACHINA ingekuaje:- 1.miji na mashule mengi yangekua na majina ya kichina 2.kusingekuepo na dini mbili kubwa nchini kama RC na islamic badala yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Taarifa rasmi: -Kuanzi sasa maombi ndoa yanapokelewa ofisini kwangu 24hrs, na yatashughulikiwa ndani ya dk arobaini na ndoa kufungwa. -Ndoa zote zilizo kwenye migogoro, naomba hiyo migogoro ikome...
2 Reactions
138 Replies
6K Views
Wadau kuna kijana anayeitwa AMANI YUSUFU MAKAMBA mkazi wa mikoa ya kusini. kijana huyu anyedai kuwa mzee Yusufu Makamba ni baba yake mzazi amekuwa akiwatapeli watu mbalimbali fedha na mali kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapenzi ndugu zangu wachitichati, habarini kimiamko. Kumekucha tena Jumamosi , ambapo wengi wenu mu mapumzikoni mwa mwisho wa juma. Aidha wengine akina sie mishemishe zetu, kukicha ni teke...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
NANI ZAIDI 1. Mpare anayeenda benki na spana kufungua akaunt 2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi 3. Mzigua anayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani 4. Msukuma...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau naombeni msaada wenu wa mawazo!!! hivi kupeleka nguruwe msikitini na kwenda kufanya fujo jeshini wapi kuna uafadhali ????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae naumia sana ninapoona...
4 Reactions
124 Replies
5K Views
Akijibu tuhuma hizo, Madame B mwenyewe alikiri kuwa ni kweli anatoka na huyo jamaa, na wameshibana kwelikweli. Wambea kazi kwenu. Mbuzi Kala Mkeka... Kila siku akina Wema na Lulu tu...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Back
Top Bottom