TAMKO: ZUBEDAYO_MCHUZI YUPO NA Arabela Mpaka PUMZI YA MWISHO.......

TAMKO: ZUBEDAYO_MCHUZI YUPO NA Arabela Mpaka PUMZI YA MWISHO.......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari zenu wana chit-chat.

Sina Mengi zaidi ya kumwomba msamaha my wife Arabela kwa kupotea sana tena si kidogo najua anafahamu ila alimwaga ya moyoni ili nirudi mapema,ni kweli nimekuwa na shughuli nyingi kupita hata unga wa ngano lakini namshukuru my wife Arabela kwa uvumilivu wake,na TAMKA Arabela nakupenda sana na yoyote atakaejaribu kuvunja ndoa yangu kwa njia yoyote basi tutagawana majengo ya chirikali.

Nitoe ONYO KALI KWA NITONYE Kwa wenye tabia kama ya huyu bwana mdogo sasa nina mafunzo ya boko haramu,M23 sitawabakiza kamwe atakae mchukua Arabela kwangu anitoe kwanza pumzi. ........huo mchezo wako utakufikisha pabaya kwasababu hakuna anaekula cha mtu na yeye akabaki salama hata kidogo...........

Ni wape pole walio kurupuka kunipaka matope kuwa nimeonekana na mama v,hako kama hakana ubavu hata wa kuwa na kinvuli changu.....

NAUHAKIKISHIA UMMA kuwa sijaemwacha Arabela na wala sitamwacha kamwe wenye mioyo husuda limekula kwenu..........

..........Nakupenda sana my Arabela,nakuheshimu sana,nakujari sana........siwezi kukuacha kama nilivyo apa....wewe ni wangu mpaka pumzi ya mwisho.....Maisha bila wewe ni sawa na DUNIA BILA MCHANA.

USIONE VYAELEA PEKE YAKE UJUE KUNA NGUVU IMEFANYA VIELEEE

...wenu katika ujenzi wa chit chat.....
 
uwiiiiiiiiiiii
hapa watu wameumia
bausa aliyesema uko na Mama v usimguse yeye ni shemejiyo.

jitahidi upunguze tabia ya kumwacha mke miaka 3 eti unatafuta,
siku utakuta ana watoto wawili zaidi ya uliyowaacha usilie na baba mkwe.
 
Last edited by a moderator:
namwamini sana mke wangu anajua nature ya kazi yangu....uaminifu kwenye ndoa muhimu kuliko hata kuwa karibu...................
 
Huna mapenzi ya kweli na Arabela tuachie sisi tunaopenda kwa dhati. Kwanza angalia hiyo avitar una uwezo wa kupambana na mimi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom