TAMKO: ZUBEDAYO_MCHUZI YUPO NA Arabela Mpaka PUMZI YA MWISHO.......

TAMKO: ZUBEDAYO_MCHUZI YUPO NA Arabela Mpaka PUMZI YA MWISHO.......

Huyu dawa yake ni ndogo tunamwandalia video inayomwonyesha akipanga mashambulizi ya ugaidi dhidi ya nitonye

Mfupa fisi ameushindwa nyie mtauweza...mkipanga..mtapangua..wenyewe...Nakuonya tena Acha kumsumbua Arabela,malovee yako peleka kimboka.
 
Last edited by a moderator:
Akileta mbwelambwela atalamba za uso

Ukiweza kuuchafua upepo bs utakuwa umefaulu kutupa za uso...la..sivyo...utaikosa interface ...sina historia ya kupigwa na wadokozi wa wake za watu..
 
Dogo nimekusaka gym zote tangu jana, bahati nzuri umewahi,kesho ilikuwa nimpe Arabela go ahead ya kufanya maamuzi magumu

Visible gym hunipati,invisible gym nipo full...ila..Moyo haumui haraka Arabela is Mine for life
 
Last edited by a moderator:
yuko mazoezini now jaman

Shemeji yangu Arabela!
Nimekubali mume mswitii!
Jana wakati umehamanika na ombwe la mista wako, kukuliwaza kwetu kote mie na my wife, leo chambegu kimetinga umetusahau kututonya mrejesho?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom