Arabela mimi ninampenda kwa moyo wa dhati mda wowote namkaribisha maishani mwangu
kwa sura hiyo ya kwny avatar
wala usitegemee amuache huby wake!!
anakutapeli huyo mkata vitunguu, yuko wapi sasa au tenda za mama ntilie za kuwakatia vitunguu zimembana
kwa sura hiyo ya kwny avatar
wala usitegemee amuache huby wake!!
mi ni secretary wake
kwa sasa yupo anafanya
mazoezi ya kukimbia dar -chalinze
inabidi nishike nafasi kwa muda!!atarudi soon!!
kwa sura hiyo ya kwny avatar
wala usitegemee amuache huby wake!!
sawa shemeji!!Hiyo avitar ipo kikazi zaidi wala asitishike
​asante mrs boss wangu zubedayo lol!!Passion Lady me love you so much
​ndio nishampa vidonge vyake!!mpashe huyo apashike
asante ila boss mbona harudiusijal my dia ntakupigia debe
watavurugwa hawa mi simo!!
yuko mazoezini now jaman
asante ila boss mbona harudi
au katekwa?
Miss PL,huyo nitönye mwache abwabwaje huko huko mbali...huwa sina maneno apite kumi na 8 zangu atajua maharage kande au kiungo cha kande...