KITENDAWILI....!
Chautundu ni kijana mdogo, hana miguu lakn anasimama, hali chakula lakn anatapika, hana mikono lakn anachapa mtu mpaka analia, ni kijana mdogo kiumbo lakn hurefuka na kunenepa...
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke akawasha...
Jamaa karuhusiwa kutoka hospitali
ya vichaa, akapandishwa kwenye
ambulance hadi karibu na kwake,
akaulizwa unapakumbuka kwako?
akajibu ndio nyumba yangu ileee,
wakatoka watoto wawili wamevaa...
Kwa wale wadau wa JF na member wa eo Tupo Hapa Pub. Tangazo hili ni kutaka kuwafahamisha kwamba, mnamo tarehe tajwa hapo juu tukutane pale Leo Tupo Hapa Pub kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji...
Samahan kwa usumbufu najua nyie ni muhimu sana kwangu tena bila uwepo na maombi yenu nisingefika hapa nilipo na tena mara nyingi huwa mnanishauri mema siku zote na matumain yangu kwny hili...
Msiniulize kwa nini.....
Copy: The secretary.....mke wangu nashukuru kwenye begi uliniwekea bullet proof jackets za kutosha,vinginevyo tungeishia angaza!
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini
HII INAITWA DHANA YA...
HIZI NDIO SIFA ZA KILA MKOA YA TANZANIA;
1. DAR - Utapeli
2. ARUSHA - Ustaarabu
3. MBEYA - Matukio
4. MWANZA - Fujo
5. TANGA - Mapenzi
6. MOROGORO - Starehe
7. DODOMA - Bahati na Matusi ya...
mfungishaji wa ndoa m1 baada ya kuwafungisha ndoa mashoga wawili, alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni mke na mume" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? padri akapiga moyo konde...
jamani chit-chat besides jamani nakiu mwenzenu..,.dah! Mambo gani haya sijanywa bia wiki ya tano hii jamani!!! Kah sio vizuri hivo kubaniana jama...najua leo ni bize monday lakini hata tubia...
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa...
Jumapili moja,wakati akihubiri kanisani,mchungaji akaanza,"laiti ningekuwa na uwezo kwa namna ninavyokerwa na pombe, nigeamuru vilevi aina zote kwenye mabar vikamwagwe mtoni..........."...
Jamani huyu kaka ni ndugu yangu huku uraiani.
I mean nje ya JF na socia network tunaungugu wa kweli
Yaani baba yake na mama yangu ni kaka na dada
Kwa kiswahili tunaita binam ila mimi namwita kaka...
MKE: Mbona umebadilika sana mume wangu?? MUME: Nimekua mweusi nini?? MKE: Hapana toka utoke DAR unaniita MOSHLING, ndio nini?? MUME: Mimi nimewasikia watu wa Dar wanawaita watu DARLING, na mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.