walevi wa3 walikodi bajaji ,dereva alipoona wamelewa sana aliwasha bajaji alafu akaizima.mlevi wa kwanza alisema asante kwa kutufikisha,wapili alimpa hela ,watatu alimpiga kofi dereva akamwambia...
Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili aombewe,padri akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni kanisa gani wanaombea? Kwasababu nina sadaka ya million 5 kwa padri...
Ankara (bill) ilivyomchanganya Massawe. Massawe alikwenda baa na marafiki zake kupata kinywaji, baada ya kumaliza starehe, ankara ikaletwa ikiwa hivi:Manka shs 35,000
Marieta shs 20,000
Kekuu...
Kuna mlevi mmoja alikuwa ANAKOJOA mara ghafla AKAJA*BA,,,,,mwenzake akashangaa sana na kumuuliza, VP TENA???,,,,,akamjibu,UNASHANGAA NN WAKAT MVUA IKINYESHA C LAZIMA IPIGE NA RADI!!!!!
"Naiombea chupi ya mume wangu,naitakasa kwa damu yako BABA YESU.Anapotoka katika nyumba hii,ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu.Kama ataivua sehemu nyengine tofauti na hapa nyumbani ,Bwana YESU iwe...
Mwenzenu sijui ni macho yangu tu au ushamba labda.....
nimekutana na hizi picha mahali.....
Eti macho yangu yananiambia hizi picha zote BEFORE ni better than AFTER
sasa najiuliza hiyo deki ni ya...
kuna masai mmoja alipanda gari walipo fika kati ya safari wakaambiwa wakachimbe dawa.masai akaenda haja kubwa baada ya kumaliza akachukuwa majani akachambia kumbe majani yale ni ya kuwasha kurudi...
1:- The word politics is derived from the word poly, meaning many, and the word tics, meaning blood sucking parasites.
2: - Politics is the art of looking for trouble, finding it whether...
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli...
wasalamu,
Natinga Arusha baada ya mara yangu ya mwisho 2010.nitakuwa kikazi zaidi,.............................
byebye my parents Mamndeny and Mr Rocky my dear sister Remmy
copy to...
Hallow C.T.U Mamboz
Kama hautajali ukirudi toka Dubai can we meet plizzzz
we ukifika nicheck kwa namba hii +255........
and plizzz niletee OBAGI, na SAMSUNG GALAXY S3
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo utakuja...
1.Ukiona mtu anapenda kutembea na vibiriti lkn sio mvuta sigara ujue kuna k2
2.Ukiona mtu anampenda bob marley lkn apendi reggae ujue kuna k2
3.Ukiona mtu anazungumzia kwenda south africa ikiwa...
Ndugu zanguni siku hizi katika mtandao wa Facebook kuna utapeli mtindo wanaotumia ni huu na mara nyingi hawa ni watu kutoka ktika nchi za magharibi mtindo wenyewe ni huu. Anakutumia msg inbox...
kuna masai mmoja morani alinunua chupi mpya na ilikua siku yake ya kwamza kuvaa na akaanza safari kwenda kwao longido.gari lilipofika kati ya safari watu wakaambiwa wachimbe dawa na masai nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.