JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii barua kuna mahali nimeichukua nikaona niipost kwa page yetu ili kama una cha kuongezea ongezea kabla hatujaituma kwa muhisika.. Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali hapa Tanzania...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry: Sijategemea mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wewe tena katibu wa chama kikubwa kujihusisha na ujangiri wa wanyama pori...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Familia ya Bw.& Bi HISPANIA wanasikitikia kuwatangazia vifo vya watoto wao wapendwa REAL MADRID na BARCELONA vllivyotokea ktk nchi ya ujerumani siku za Jumanne na Jumatano usiku, mazishi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
....Nimekuja mara moja huku kuwasalimia tu,ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya tele. .... ...My wife natumai hujambo nipo njiani naja niandalie misosi kabisa.....nimekubebea zawadi yako...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
ebanaeee kumbe jana ndo nimetimiza miaka miwili tangu nijiunge na JF, huamini? cheki hapa chini ndani ya miaka miwili nikaopoa kifaa cha ukweli charminglady ambae nae baada ya kurubuniwa na pesa...
17 Reactions
134 Replies
6K Views
Habari za kwenu ndugu zangu wanpendwa? i am back kidogo, nilikuwa nimetingwa na majukumu to the extenty kupata nafasi ya kutumiaa vyema CC ilikuwa shughuli, bado niko nayo but usiku kama hivi leo...
0 Reactions
3 Replies
530 Views
Nan mkali,bac&ban
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Ninayo furaha sana kuhingia katika ulingo huwa wa Jf chart naomba mnipokee tuwe pamoja katika kupeana ushauri,na kujaliana mambo ya msingi il kuweza kuimprove our life . ASANTE
0 Reactions
17 Replies
1K Views
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI.jamaa kafiwa na mkewe, waakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza,mume mfiwa akamuuliza rafiki yake,mbona huyu analia sana ni nani...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika vitu vilivyo pewa kipa umbele ni zakali! *Mwanamke anapata mtoto *Shoga anabadili sauti hadi mwendo *Imetengenezewa condom watu wanauza wanapata pesa! *Uwezi kuwa kiongozi wakanisa kama...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
kwanini wafanyakazi wa makampuni ya simu upande wa masoko uhama hama toka moja kwenda nyingine? ni maslahi au carrier?
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Eti nzi wa kijani(wa chooni) ni nzi ccm!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa alipata ajali macho yt yakapasuka akawekewa macho ya paka, akaulizwa sasa unaona? akasm ndio lakini naona PANYA TU
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi, nyani akapora ndizi akaila muuzaji akamaind, mzungu akasema unamaind nn wakati ndizi kala ndugu yako? Mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Leo ni siku yako mpya hapa duniani, hongera kwa kutimiza miaka kadhaa toka uje hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na afya, sina mengi ya kusema, ila nasema hongera kwa...
6 Reactions
273 Replies
15K Views
naunga mkono hoja mia kwa mia, naunga mkono mia kwa mia hoja , je sentensi hizi zinafanana?
0 Reactions
9 Replies
949 Views
Salaam alaykum,bwana yesu asifiwe,habari,igweeeee,mimi ni mgeni jamii forums,na pia katika jukwaa hili,wakongwe wa jukwaa hili(Smile,lara1,mzabzab,mwanamalundi,Natalia muke ya mudhungu na wengineo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wapendwa..naitumikia nchi hii arusha kwa siku kadhaa.. MMU tasavalo.
0 Reactions
84 Replies
5K Views
Two men waiting at the Pearly Gates strike up a conversation. "How'd you die?" the first man asks the second. "I froze to death," says the second. "That's awful," says the first man. "How does it...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
ingekua vipi kama..... 1.nauli zisingepanda 2.kila mtu angekua rais 3.kuoga kusingekuwepo 4.kufeli kusingekuapo 5.mume na mke lazima wawe wote bikra 6.wewe ungekua rais wetu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom