JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kichaa mmoja alitoroka Mirembe saa saba ucku alipovuka eneo la hospitali akavua nguo na kuzitupa na kuanza kutembea mtupu kama kawaida ya vichaa, kufika njiani akakutana na kundi la watu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
....................
1 Reactions
14 Replies
3K Views
" the shit you hear about me might be true but then again it might be as fake as the bitch who told you"
0 Reactions
4 Replies
624 Views
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..." Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu..." Jamaa...
8 Reactions
69 Replies
12K Views
Waziri wa kilimo Tanzania katembelea mradi wa kufuga nyuki, mlinzi kamzuia kuingia waziri kwa ukali unanijua mimi nani? Mimi waziri, mlinzi akamwambia sawa mzee ingia. Mara waziri kaanza kupiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF naomba kwa anayejua sehemu wanatengeneza dreads vizuri kwa maeneo ya posta au ilala kwa ujumla. nlikua naishi wilaya ya kinondoni (Sinza) sasa nimehamia ilala (posta) ila napata shida...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kaa ukijua kua Kichwa cha dushelele hakina mawazo ndiyo maana hakichagui kitumbua!!
7 Reactions
49 Replies
3K Views
​habari zenu wana jf!mie mgeni naomba mnipokee!!
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mmeamkaje wana Chit Chat.... Mtajwa hapo juu huwa napishana naye humu jamvini, nikimuangalia sana naona anafanana na familia yetu, kuanzia muondoko, haiba zake na hata rangi rangi yake...
3 Reactions
88 Replies
4K Views
Wakati nasoma chuo, profesa wetu mmoja aliwahi kutuambia, " Wewe kama mwanafunzi wa Chuo Kikuu, nikikuuliza unitajie jina la mji mkuu wa Tanzania, halafu ukaandika DODOMA, I...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Must read... SON: "Daddy, may I ask you a question?" DAD: "Yeah sure, what is it?" SON: "Daddy, how much do you make an hour?" DAD: "That's none of your business. Why do you ask such a thing?"...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
SIKU MOJA RAIS WA YEMEN ALIAMUA KUFANYA ZIARA YAKE BINAFSI KWENYE JANGWA, KATIKA PITA PITA ZAKE HUKO JANGWANI AKAMUONA JAMAA MOJA AKIWA ANAVUTA GANJA AKAANZA KUMOJI MASWALI= RAIS= HIVI HUOGOPI...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
What was the population of Tanganyika in 1900
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
1.Ni neno gani la kiingereza linalopatikana kwenye button moja ya simu zenye herufi tatu tatu kwa kila button. 2. Ni button gani yenye jina mojawapo ya file extension?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi kupaka rangi na akamwambia fundi nataka ulipake rangi yoyote isipokuwa nyekundu, nyeusi,bluu,njano,kijani,zambarau,choklet,nyeupe na zingine nyingi aliendelea...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
heshima kwenu wanajamvi,kuna kitu kinanitatiza kwenye medula yangu hivi kwa nini hizi sabuni huwa ziko nyingi sana kwenye yale maeneo yetu yale yaani kila unapoenda unakutana nazo kama vile...
3 Reactions
25 Replies
8K Views
Bi kidude alikwenda katika show london akafikia katika hotel ya kifahari akiwa chumbani kwake alichungulia nje akawaona watoto wa kizungu wanaogelea kwenye swimming pool naye akakumbuka mambo ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kawaida katika mpira wa miguu mchezaji anapofunga mabao matatu kwenye mechi moja''(Hat trick)'' huondoka na mpira. Je ingekuwa hata kwa mwanamke ukimpiga bao tatu unaondoka na chupi, wewe ndugu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa mmoja alienda kwny hifadhi,akaanza kujidai kwa walinzi kuwa yeye haogopi simba. basi wakamwonesha mti mmja ambao simba hupend kulala hapo na mtalii mmja akamwahd akikaa had waje simb...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom