Nilifikiri Chadema ni machachari Bungeni tu ,kumbe hata hotelini! Sikia hii:
Wenj: mwongozo chumvi haitoshi.
Mnyika, Taarifa mh: mchuzi wa jana huu jamani
Tundi: Kanuni ya17 ,Niliagiza kuku wa...
A family somewhere in Africa struggle to kill a young crocodile for lunch after starving for
three days with nothing to put in their stomachs. They found a diamond wort 3million us dollars and now...
Leo ndiyo siku ya Muungano wanchi mbili kati ya ZIMBABWE NA PEMBA!Kati ya mwaka 11964 Hi ni historia ya kuwekatika vitabu vya kumbukumbu na hii ilisemwa na Mwanachama wa chama cha mapinduzi...
Kwa muda mrefu nimekua nikifikiria huu mda tunaotumia kutunga sms za wazo la leo tungeulekeza kwenye kufikiri kubuni kitu kipya ambacho kitakuletea manufaa sidhan kama yule dogo wa UK...
Hivi hapa Mrembo by Nature atakuwa anawaza nini?
1-je amefumania?
2-Je amefumaniwa?
3-Je Ameunguza chakula cha mpenzi wake?
4-Je ame-miss tarehe za period sasa anahisi ana mimba?
5-Je...
Watoto balaa..... tena sana 2. Baba alimwambia mwanae Shika hii Sh500 usimwambie Mama yako kuwa umeniona nimelala na House girl!! Mtoto akacheka "Ha!Ha!Haa! Sitaki, tatizo Baba wewe bahili sana...
Hivi wana Chit Chat. Mnaonaje hili swala la Sisi kupeleka jeshi DRC ku deal na M23 wakati wameshatupa barua ya Onyo tusifanye hivyo!!
Nimeona tuanze na Hili kwasababu Hii weekend ni ndefu sana...
Fabregas left Arsenal to Barcelona,
in his first season he won
trophies. Nasri and Clichy left Arsenal to Manchester city, in their first season they won a trophy. ROBIN VAN PERSIE left Arsenal to...
Heshima kwenu wadau.
Nimebaini kuwa vyanzo vya majina ya vijiji/miji vyaweza kuwa vitambulisho vya kabila mwenyeji. Wenyeji ebu tujuzeni maana za vyanzo vya majina ya vijiji vyenu.
DODOMA...
Jamani jamani. I hate kutawaliwa na jambo naona sasa hali hii yanijia last month nimeanza kufatilia series niliyoikuta imeshaanza Star Tv yaani MARACLARA, aiseee huyu Director this time...
Ilikuwa ni juzi Jumapili nilitoka out na mama Ngina
Hawa warembo wakaanza kunitolea macho, mama Ngina akamaindi
Ikabidi nijitahidi kumuelewesha ili kisije kikanuka nyumbani, nikajieleza...
With your mobile phone connected to the internet, jihesabu kuwa upo salama.
Ajiandaapo kukushambulia wewe just Google ili upate mbinu za faster faster.
Hii nimeipata liveeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Arusha. Jamaa mmoja alikuwa katika stori moja mbili katika Mgahawa Maarufu wa NAAZ. Katika kusogoa haya na yale wakagusa mambo ya siasa yanavyokwenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.