JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Napenda sana kuchat ndugu zangu so nawakarbsha wote.....I hope na mimi nakaribishwa pia si etiiiiiiiiii eeeeeeeee!
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Majambazi walivamia kanisa wakasema tunawaua waumini wote na tunafuata alfaphet, wakamuuliza mchungaji anaitwa nani? Akasema Zosefu Zohana mzee wa kanisa , naitwa Zobadia Zamwel, mwalim wa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Flame Tree Lounge A central meeting point in Dar es Salaam Nivea let us meet at Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel Flame Tree Lounge at 6PM
5 Reactions
57 Replies
3K Views
My ATM balance tells me, my account has Tshs 6500/=,but I know this figure is provisional. Besides,end month is my stronghold and once it is tallied, the figure will change. For now the ATM has...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Daktari anakuombea uumwe. 2. Wakili anakuombea upate kesi. 3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe. 4. Polisi anakuombea uwe mhalifu. Cha kustaajabisha Mwizi ndo anakuombea ufanikiwe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wk ijayo ntakualeave kjobuni kwangu fo2wk. Nimeamua safar ii nikapate upepo wa karafuu pande za zenji. Raiaa upo uko, nipokeeni aisee coz itz my 1st tym kudrop anga izo. Km kunameng funguka...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Hii ni kali ya mwaka! ni kisa cha dada mmoja sister duu!. kilichotokea jijini Dar, dada huyu akiwa amevalia vilivo kimtoka wakidaslam(vimodos), walitoka na Bf wake weekend moja wakaamua kwenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
teja alikuwa anamtongoza mzungu,maongezi yalikuwa kama ifuatavyo; Teja;i love u Mzungu;i love u too Teja;i love you three Mzungu;wots for? Teja;i love you five Mzungu;are you sick?? Teja akaona...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna majambazi walifanikiwakuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
binti kaenda kutambulisha mchumbawake kwao. alipofikatu baba akaona dosari, maana kijana alikuwa mweusi tii,anamatege yaukweli na makengeza ya maana. achumba alipoona sura ya babamkwe imebadirika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani huu mji ukiona mwanamke mzuri jua fika kuwa huyo ni foreigner.
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Sorry for distabunce my friends, this has been removed for the sake of Moral attittude. Sorry again.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndomana huwa nasikiliza CD empty nanikichokasana huwa nasoma plain paper pianasinzia huku nimesimama kuepuka kelele za kitanda ninapo jigeuza na wakati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mjita mmoja ambaye alizoea kusema "hii ni sawa,hali ingeweza kuwa mbaya zaidi". Kila watu wakimweleza matatizo yao jibu lake ni hilo hilo. Siku moja jirani yake alirudi kazini mapema na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yani tangu nijiunge jf sioni hizo piemu wala nini, kwani mimi ndo sipiemuki jamani?hii sio haki sasa na mimi leo mnipiemu sasa nione hizo piemu zinavyokuwa lol...utafikiri sio mdau humu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wazo LA LEO@ muuza sura usikose amani makunyanzi yakikutokea
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMA:nataka nkuambie ktu BABA:ongea MAMA:ckuhusu huyu hsegirl wetu BABA:hainuhusu tatzo lake MAMA:ana mimba BABA:hainihusu tatzo lake MAMA:na kuhusu mimba kaxema n yako BABA:haikuhusu hiyo tatizo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndo nimetoka kifungoni muda huu, walinipumzisha kwa siku mbili, nimerudi tuko pamoja.... Haya nambieni yaliyojiri kunako jamvi..
2 Reactions
38 Replies
2K Views
marehemu bibi kidude ameacha urithi na wosia mzito sana kwa wanae wawili tu?ambao ni wasira na 'mtoto wa mkulima'
0 Reactions
3 Replies
2K Views
University students waliingia kwenye QUIZ ,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye he is very bright ili akitoka kwenye Quiz room ampe answers. Kwakuwa muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom