JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nitajie movie ambayo ulivyo angalia ulicheka kinouma mimi ni ile movie ya hangover wale washikaji walo lewa wakaiba tiger wa mike tyson wakifikiri ni mbwa na pia akajing'oa jino
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Tabia ya kupiga chabo watu wakiwa faragha 6/6 itakufanya uwe chongo. Ulivyo nipiga chabo niko na sweetlady nilidhani umeecha sasa ona umepiga chabo kwa Paw na Kig'ast. Be careful brother
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Hai familia yote ya jf cc Leo tena nimeingia kwa fumbo lisiloweza kubashirika kiurahisi labda uwe na macho ya rohoni utaweza tambua mada hii inazungumzia nini hapa na utaelewa Lady ametaka...
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Naombeni msaada namna ya kuwaelekeza ndugu zangu sehemu ninayoenda kufikia Japan. Angalieni baadhi ya picha na Jina lenyewe. (Moderators tutaomba uvumilivu kidogo)
0 Reactions
19 Replies
2K Views
BRAIN TEASER: I am an 8 letter word. I am kept a secret by everyone. My 234 letters spell an animal. My 45678 is a weapon. My 128 is used for writing an exam & 1234 is ussually an...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani maranyingi huwa naona watu mkisema jukwaa la wakubwa nikingia home sioni kitu , hebu mnielekeze wapi maana na mie ni mkubwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
watu wote tunaishi kwa budget, ila kuna wengine ni zaidi ya hapo; Mkinga mmoja alitumbukia kwenye kisima chenye kina kirefu, akapiga kelele mkewe akaja kumuokoa ...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NYOKA ALIYEZUA GUMZO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII <tbody> Muunganiko wa picha za anayedaiwa kuwa nyoka mkubwa aliyeuawa Misri </tbody> MTU asiyejulikana amezua mjadala mkubwa kwenye mitandao...
3 Reactions
25 Replies
17K Views
Bf wangu amekuwa na tabia ya kukaa kimya znaweza pita hata cku mbili, akija kuku2mia sms kama anam2mia dada yake vile, je kuna jipya hapa nalingoja? Ushauri jamani naombeni co vjembe...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani wengine wikiendi twazipata kwa msimu, Hivyo tukizipata twazitumia ki sawasawa, tujulishane wana cc / JF Dar wapi leo
2 Reactions
51 Replies
3K Views
1 Reactions
21 Replies
3K Views
"Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani. "Toka hapa nani wewe unakuja kitandani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo! Nautaratibu wa Camping site huko hivi! Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu...
18 Reactions
212 Replies
10K Views
Kwa wale watu wa maji ya dhahabu tukutane pale HISAJE kuanzia jioni tule burudani na DJ Seydou.Ukimuona mujamaa anayecheza kila muziki ujue ndio mimi!!! Kuna bia ya bure kwa kila mwana JF pro...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Mu hali gani wapendwa wana ChitChat.... Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka sasa, ilikuwa siku kama ya leo majira kama haya nilipojiunga rasmi...
14 Reactions
49 Replies
4K Views
Salaam, Najua wote tunavyo (katika kumbukumbu) visa na vituko mbalimbali ambavyo wadogo zetu, watoto wa ndugu na marafiki na watoto zetu wameshawahi kuvifanya linapokuja suala la chakula...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa mimi ninavyo elewa pombe ni kilevi ambacho kina leweshwa akili ktk ubongo wa binadamu,pia kupelekea maandeleo kurudi nyuma.
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Madadiito na mashostito tupeane ratiba. Mi nikitoka ofisini Brake ya kwanza home napiga maji nakua soap soap. Naanzia Uhuru garden kwa kupata samaki foil. na Tusker lite moja au Mbili. Baada ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu hawa uanza kwa sweet,dear,bb/mm fulani,juma/jamila,wewe,makelele,na majina mengineyo unayoyajua wewe na kama utabahatika kusoma jina mojawapo wakati simu inahita utashangaa, sasa nauliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa , hebu nshaurini nataka nielekee lunch maana utaratibu wangu wa kila ciku umenishinda. Kutokana na ugumu wa maisha hua nna kawaida ya kula milo miwili kwa cku, chai saa nne na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom