JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo wadau iv nikabla gan tz lenye maujuz yaku du? Binafc nahic watakua waha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pamoja na serikali kurudisha michezo mashuleni bado hakuna fedha za kuendesha michezo hiyo inayotumwa mashuleni,ngazi ya kata na ngazi ya tarafa.Je tutafika
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ndoto (dream) zako hazijatimia endelea kulala
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zinduna na mwa j mnataka kusema siku hizi mna..!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akinyi: mom am pregnant! Mom: Akinyi how did u get pregnant? Akinyi: I don't know. Mom: I thought I told u dat if a ... guy touches your breast u should say "DON'T" & if he touch ur pant u...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwl;tunga sentes kwa kutmia neno sukari Mwfnz;jana nilikunywa chai mwl;neno sukari liko wp? Mwfnz;limo kwenye chai
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu mmoja aliekua akiumwa sana na kulazwa hospitalini huku akitumia mirija maalumu kupata hewa, alitembelewa na pastor kwaajili ya maombi. Katikati ya maombi kwakuwa mgonjwa alikuwa hawezi kuongea...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari chitchaters, Weekend hii nipo free natoa offer kwa mwanadada mmoja au hata kama ni wawili lol (watatu hapana watani overwhelm :biggrin:) twende out tuka have fun, time kama kuanzia 20:00...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Unamnunulia demu CiM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamerushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako Huo ni Mwingiliano wa mtandao. Unamnunulia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila nikakayemwita aitikie ‘LABEKA' kwa wanawake na wanaume waitikie ‘NAAM' - cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia...
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Licha ya rabsha ya juzi ya baadhi ya wabunge kutolewa ndani ya bunge na kuzua mshangao na masikitiko, bungeni pametokea majibizano kati ya wabunge yaliyojaa usharp wa akili na kuchekesha.Angalia...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
bi kidude anakufa eti mtu anandika gone too soon,we wil mic u,jaman tuache unafiki bana.hawa ndo wanaambiwa happybirthday wanajibu same to you......kukariri:dizzy:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIONGEI TENA ENGLSH MIMI!! Amini usiamini ENGLISH ni lugha ya wanyama na ndege, kwani Paka ukimcheleweshea MAZIWA utasikia anasema NOW,NOW! Ng'ombe naye asiposhiba utamsikia MORE,MORE! Mbwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
"WAS IT A CAR OR A CAT I SAW" is the only full English sentence that, when read in reverse, will be the same. Hiyo sentensi ukiisoma kuanzia mwisho inasoma hivyo hivyo Ama kweli kizungu ni...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamaa mmoja ameoa kabila moja la mkoa wa kaskazini mwa TZ anampigia mkewe simu mambo yakawa hivi Mume : Hello baby Mke : Hello swity Mume : Niachelewa kurudi leo Mke : Nishajua uko na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zaeni matunda mema, Zaeni yenye baraka, Bwana atayapokea, Yatabarikiwa naye, Zaeni ya heri. Source: tenzi za rohoni Nawatakieni heri,baraka na furaha tele katika fungate lenu na kila...
13 Reactions
349 Replies
15K Views
jaman NYUMA raha!! asikwambie mtu ..... NYUMA rahaaaa.... wachanipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena mwenye kuujua vizuri utamu wa NYUMA!!... hebu kumbuka hapo NYUMA... soda ilikuwa tsh...
11 Reactions
23 Replies
15K Views
NI aibu kubwa kuliko maelezo! Meneja wa kampuni ya kusafirisha mizigo ya Malawi Cargo, tawi la mkoani hapa, Everson Makowa-Mwale (49), raia wa nchi jirani ya Malawi amenaswa chumbani na mke wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
They both have offices in Dar but they operate virtually
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom