ebanaeee mi nikajua mbunge bana,
ila daaah we acha kabisa kaka SnowBall ni Gentleman of his own class,
ilikuwa ni kuhama tu kutoka chako ni chako, double h (si mnajua kuku wa pale)tukawatafuna...
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo...
Wanajamvi, nimekutana na hii post jukwaa fulani serious, wanajadili watu serious. Nikashindwa kuchakachua thread, ila pia roho haikunipa, nilishindwa kabisa kumeza. Hivo nimeamua nilete post huku...
An airplane is flying over the United States at night.
The pilot says:
"Ladies and Gentlemen, the plane is losing altitude and all the
baggage must be thrown out."
A little later, the pilot says...
Chit chatters mpo?
Najua JF ni Chama kubwa na ninaamini hata hapa Idodomya members wapo.
Binafsi nimeingia mji huu na ntakuwepo kwa muda...kama vipi Hebu tutafutaneni ili tubadilishane mawazo na...
Baada ya kuboreka na mawaidha ya sheikh, waumini wote walisepa isipokuwa muumini mmoja. Sheikh alipogeuka nyuma na kumwona akamsifia kwa kumwambia kwamba yeye ni muumini
pekee mwenye imani ya...
The puzzle question is : On Bagshot Island, there is an airport. The airport is the homebase of an unlimited number of identical airplanes. Each airplane has a fuel capacity to allow it to fly...
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata
> sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya
> marehemu tuliyemzika hapa leo. karibu ndugu...
Ona sasa una ngeu mmeo kiplagati26 kakucharanga mapanga kisa hujui kupika githeri na sukuma wiki (usibishe nimekuona Nairobi hospital muda mfupi uliopita). Si afadhali ungeolewa na Arushaone...
DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANI
KAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!.
USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant...
Usiombe
kuwa na haraka halafu njian ukakutana na Rastaman akakusalimia utatamani ardh
ipasuke uingie mana rasta nusu saa haimtosh kusalimiana than wewe unachelewe.
Usiombe kuwa mzanzibar...
hivi nyie maMP ,,,mnafamya vitu ganiinn,,,,
mara kashfa mara matusi sa ndo siasa gani,,,,,,,,
malizia na hizo verse hapo down................................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.