Bwana mmoja alisafiri kwenda
kijijini, alipofika akakuta mtandao
wa simu unapatikana bila
matatizo. Akamwandikia mke
wake sms. Kwa bahati mbaya
akakosea namba na ikamwendea
mtu mwingine...
-----NaJiTokEza - kTk oFFicE ya MOYO wako,NaHiTaJi kaZi kTk naFsi yako.
-----NinaZosiFa - za kutOsHa kwani nimEsoma kTk cHuo cHa St. LOVE huko EDEN CiTy
-----Ktk maSomo niLiocHukua nimEpaTa ZERO...
Tayari mwaka huu ushachukua mabilionea wawili wa Arusha.
Sasa mimi nilikuwa najiuliza ni bilionea yupi na wa wapi atakayefuata kurudisha namba?
Kwa vile Bishanga ni muathirika mimi natabiri yeye...
Kijanammoja alienda kusomea kazi ya baharia baada ya miaka mitatu akarudi kuja kusalimu home baba kwafuraha akaamua kumtoa out. wakiwa njiani wanatembea kijana akaanza mikogo, akawa anatembea...
kulitokea purukushani kwenye kichaka, mara watu wakaanza kujiuliza kuna nini, ghafla akatokea Baunsa kwenye kile kichaka, wakamuuliza, kulikuwa na nini pale? Akajibu, wamenifira lakini kwa...
Nawasalimu sana wana JF. Nilikuwa offline kwa kipindi kirefu kidogo kutokana na shughuli nilizokuwa nazifanya kijijini ( remote area ). Mtandao ulikuwa unasumbua sana. Sasa nimerudi tena na...
cacico,
Kimekuwa kipindi kirefu sana sasa tangu uamue rasmi kunichunia na kunisahau kabisa.
Mimi bado nakupenda, na upendo wangu kwako unazidi kuongezeka na kuimarika kadiri siku zinavyosonga...
Hay wanajamvi
Mwenzenu nusura nianguke chini kwa kicheko nilichopata jana kwani sikutegemea
kitu kama kile nirushiwe hewani namna ile, na huyu mtu yeye ajui kuwa watu tuko
kwenye madaladala...
Fikra ngumu;
Naomba kufahamishwa kwanini tigo -pesa na m-pesa hawaruhusu " overdraft "....... ! Ili hali namba zetu za simu tumezisajili na wanafahamu wapi pa kutupata kama tusipoonekanaa ...
Vichaa waliambiwa watengeneze TV kwa kutumia maboksi. Siku ya kuleta TV vichaa wote wakaleta maboksi kasoro mmoja aliyekuja na karatasi. Dokta akahisi amepona akamuuliza wewe vipi mbona umeleta...
Kwa tukio hili, vijana wa mjini wanasema; kimenuka! Hivi karibuni wanawake watano ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja walinaswa usiku mnene wakifanya mapenzi na wanaume wawili kwenye...
Ama kweli mjini shule! Binti mmoja alikuwa akitaka kumuingiza mjini bwanake mmoja. Akatuma meseji hivi: "Baby ninataka kununua jeans moja nzuri lakini tatizo nimesahau pochi nyumbani." Baada ya...
Watu wawili walikuwa wameiba maembe katika harakati za kukimbia wakakibilia chumba cha kuhifadhia maiti bila kujua,na kwa bahati mbaya ilikuwa usiku na umeme ulikuwa umekatika jamaa wa mochwari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.