JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"My mama always used to tell me: 'If you can't find somethin' to live for, you best find something to die for." - Tupac Shakur
0 Reactions
23 Replies
1K Views
mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
leo asubuhi nimepokea ujumbe unaosema kwamba number yangu imeshinda 200,000 pounds katika shindano la nokia anniversary promo, kwa maelezo zaidi nimeekelezwa nitume mail kwenda nokia-uk@live.com...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndiyo, natoka Swanga na ninakuja. Nisaidieni mawazo nikiwa hapao mjini. Nakumbuka mara ya mwisho nilifikiaga Keko Magorofani. Hodiiíí!
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Mama mmoja alipewa kipigo msibani,baada ya kushutumiwa kumuua marehemu ambaye ni mtoto wa mdogo wake.Sakata hilo lilitokea mjini mahenge Morogoro vijijini.Kundi la watu waliokuwa msibani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magari mengi ya siku hizi si rahisi kuyaiba mpaka uwe na funguo yake. Hata hivyo wezi wa magari hawakosi mbinu kila siku. Tuwe waangalifu, usiache gari lako funguo ikiwa kwenye gari. Unatakiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wassira na Mbowe walijikuta kanisani wamekaa jirani, ghafla mchungaji akasema "kila mtu amwambie mwenzake ni mzuri" Mbowe akajibu "mchungaji sitaki kupata dhambi ya uongo"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jf habari zenu , hebu kila mwenye uwezo wa kuangalia , achunguze japo kidogo tu thamani ya hizo nguo walizovalishwa watoto wetu waliopamba sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar , binafsi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hadi wazee wanazishobokea siku hizi. Kila mzee akitaka kupiga simu lazma ajiunge. Hahahahaha wazee nao imewabamba
0 Reactions
2 Replies
623 Views
TEACHER: Ok, class let us show our guests how far we have reached.........if i say small, you say small, smaller, smallest TEACHER:- Small CLASS:- Small, smaller, smallest TEACHER:-Big CLASS:-...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo 3 fanya kwa kufikiria sana. 1. MAPENZI 2. MAONGEZI 3. MAAMUZI Vitu 3 havimngoji mtu. 1. MAUTI 2. WAKATI 3. UMRI Mambo 3 usiyaone mepesi 1. DENI 2. MAJUKUMU 3. MARADHI Mambo...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
WajaJF, Nimekaa katika kumbuka zangu nikakumbuka tukio hili; Nikiwa mdogo nilikuwa nawendaa sehemu moj ilipo kambi ya JWTZ kuchukua Mabaki ya chakula kwenye kambi hiyo kwa ajili ya mbwa wangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
AJIRA NGUMU JAMANI!!!!! Jamaa m1 alienda kuomba kazi kwenye ZOO. Akaambiwa nafasi ya kazi ipo, hatuna sokwe. " Hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwann hawaweki tz kwenye guinness book of records? reason: rasilimali zake vs umaskini wake!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Content: BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo za mipasho:- 1.Mkuki kwa nguruwe... (Spika Anna Makinda). 2.Mimba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku nzuri usilie kwakuwa zimepita bali ufurahi kwa vile zilikuwepo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Try not to become a man of success, but lather try to become a man of value" Albert Einstein.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutokana na utata ulioko juu ya mtoto wa Bishanga na The secretary familia imeamua kuitisha kikao. Kikao hiki kitahusu wanaume wote wanaodai kuwa mtoto wa The secretary ni wao. Kikao kitafanyika...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza. Nimeona ni vyema basi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Back
Top Bottom