Umeitwa kutoa suluhisho ktk familia hii, mtoto kala ada ya shule,baba kahonga mtaji wa familia,mama ana ujauzito wa jirani! Je? utaanza na tatizo lipi?
story ilikuwa hivi: kifaa cha kukamata wezi duniani kilitengenezwa uko japan.kikapelekwa china kika kamata wezi 50 ndani ya dk 5,kikapelekwa ghana ndan ya dk 10 kika kamata wezi 100,kikapelekwa...
Habari wana JF.
Hakika sina budi kusema la moyoni kwa huzuni na masikitiko imenibidi niseme haya kwa hakika najihisi km mgeni katika dunia hii najiona nimezama katika kina kikubwa cha maji sioni...
kila cku naiona hii NEWS ALERT ina maana gani? kwa maono yangu m naona ni habar muhim ila nashangaa hata vichekesho na vngine km hivyo vinaekewa hyo news alert...ndo nn naomba mnijuze wanajamvi
hii lugha hata mamoderator hawaelewi. ngoja sasa nikufundishe.
mfano;
Arushaone = 4RU5H40N3, NADAme b = M4D4M3 B, watu8 = W4TU8. Arabela = 4R4B3L4. Passion Lady = P4551N L4DY, Invisible =...
Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.
Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa
kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada
ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka
kwa babake, Mwanangu mpendwa
umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi,
wakati...
Mwalimu;nikikupa njiwa wawili nikakuongezea wawili nikaongeza tena wawili utakuwa na njiwa wangapi? mwanafunz;saba. mwalimu kwa ukali, yaani unasema njiwa wangapi we mtoto...
city Sport Lounge, mgahawa uliopo katikati ya jiji la Dar, mtaa wa Samora/Azikiwe, kwenye round about ya askari, umekuwa ni kero sana kwa sasa, kila mara hakuna umeme, ama mafundi kila siku...
According to Albert Einstein, if honey bees were to disappear from earth, humans would be dead within 4 years
Hapa sijaelewa kwa nn anasema hivyo
naomba kujuzwa au ana maana kuwa
because...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.