The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
Last edited by a moderator: