The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

ha ha ha.. hawa akina Erickb52 wanapenda kuwaweka masecretary vigoli kwa ajili ya kazi na dawa babe Paloma.. Don't b alerted.. sie secretary ana miaka 55.. mjukuu wake anafanya field hapa..
btw ninazidi kupata raha kujua ninapendwa hivi..! halafu eti best couple awe Erickb52..

mhhh.....unajitetea?!?!? si ndio mwawaita majimama?!?! (eti natafuta jimama la kunilea...jimama my a..!!!)

back to Erickb52 unajua anashangaza!!! utakuwaje mwenyekiti wa nec ya uchaguzi afu ujitangaze mwenyewe mshindi!
ukosefu wa maadili huu.......kwanza hata mchujo hujafanyika nakura hazijapigwa....au tume haina hela!!?? Erickb52 umekula hela za uchaguzi wewee............cc Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom