The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

:rockon::rockon: i cant wait....time will tell:rockon::rockon: wewe Erickb52..........dawa yako naichuma...then niiweke jikoni.......
Kwani lazma uiweke jikoni?
Niletee nitaichemsha mwenyewe!
Nasikia hulali unawaza yale macho ya Robot
 
Hahahahahaaaa
Mnaenda kurengana lol
Acheni kututia appetite muda wa kazi lol
Unataka vifanyio vyetu vianze kujinyoosha hadharani?

Isipochana mwambie ahamie Airtel ( Kwangu mimi ) ninachana nyavu kwa shuti moja tu dadadadeeeki muulize The secretary (Ila Bishanga asijue km sio mwanae)

Erickb52 hii ilikuwa jana banaaa..............na hii mvua sasa!??!? mchana ufike upesi tukarengane tena...babe sosoliso!!! (si unajua vile usivoniisha haaaam)

Sihami ng'ooo.........utakesha sana ukisubiri siku na saa Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Kwani lazma uiweke jikoni?
Niletee nitaichemsha mwenyewe!
Nasikia hulali unawaza yale macho ya Robot

hahahhaaaaaaaaaa......umesikia kwa nani?!!?
ukichemsha mwenyewe haitaiva...na kipimo chake hukijui ni kama...hii sio kama mliyozowea ya babu masapila
muone vimacho vileee............
 
Erickb52 hii ilikuwa jana banaaa..............na hii mvua sasa!??!? mchana ufike upesi tukarengane tena...babe sosoliso!!! (si unajua vile usivoniisha haaaam)

Sihami ng'ooo.........utakesha sana ukisubiri siku na saa Erickb52

babe Paloma ile style ya jana imenichosha sana.. yaani kiuno chote kama sio changu..
 
Last edited by a moderator:
Alerted!!!

Eti babe sosoliso secretary ndo afanye nini?

ha ha ha.. hawa akina Erickb52 wanapenda kuwaweka masecretary vigoli kwa ajili ya kazi na dawa babe Paloma.. Don't b alerted.. sie secretary ana miaka 55.. mjukuu wake anafanya field hapa..
btw ninazidi kupata raha kujua ninapendwa hivi..! halafu eti best couple awe Erickb52..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom